GPA ngapi zinahitajika ili usome Master ya elimu?

Mkuu mimi nina gpa 3.4, nikafanya post.gr UDSM, na nikaombe kufanya Masters hapo hapo UDSM, na wankatosa
3.4 nzuri hiyo unafanya masters bila ya kupita post graduate diploma
 
Kuna utata kuhusu kujiunga na masters hapa tz ikiwa ati kila chuo kinataka Gpa na cut off ilozoweka.tufahamishane point ambazo mtu waweza soma masters.Nimepata Lower second ya point 3.3 Katika Degree ya kwanza hapa chuo kikuu cha Dar es Salaam

Masters wanaanzia GPA ya lower second
 
Mjomba Bumija GPA ya kusoma masters globally inaanzia 2.7 i.e unapopata second class tu una qualification ya kusoma masters pasi na postgraduate............ kwa ada vyuo vinatofautiana na coz pia zinatofautiana.... nilijaribu kupitia pale UD kwa social science fee inaanzia nahisi 6. kadhaa mpaka 8 millions, plus 4m ya research.... kwa info zaid waweza enda pale coz ndo time ya application hii............
 
Mukulu
 
Kuna utata kuhusu kujiunga na masters hapa tz ikiwa ati kila chuo kinataka Gpa na cut off ilozoweka.tufahamishane point ambazo mtu waweza soma masters.Nimepata Lower second ya point 3.3 Katika Degree ya kwanza hapa chuo kikuu cha Dar es Salaam
Kwa Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO) unaweza kusoma masters kwa GPA hiyo ya 3.3.
 
Mkulia ada inarange sh ngapi kumaliza
 
Mkuu mimi nina gpa 3.4, nikafanya post.gr UDSM, na nikaombe kufanya Masters hapo hapo UDSM, na wankatosa

Mkuu nisaidie nikitaka kusoma post graduate ya education hapo udsm ni bei gani au kwa post graduate ada ni kiasi kwa ujumla
 
Udom napata bana na ada ud ni m8
 
Napata mie ksi hela tu
 
Kuna utata kuhusu kujiunga na masters hapa tz ikiwa ati kila chuo kinataka Gpa na cut off ilozoweka.tufahamishane point ambazo mtu waweza soma masters.Nimepata Lower second ya point 3.3 Katika Degree ya kwanza hapa chuo kikuu cha Dar es Salaam
mkuu la kukushaur nenda kwenye website ya chuo husika uangalie qualifications za kusoma kwa kila coz kuliko kishauriwa mambo ambayo cyo hum wakat wengn wanakushaur wana certificate kwo atakushaurije mambo ya master plz logic per twice ndugu alaf uchukue uamuz sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom