GPA ngapi zinahitajika ili usome Master ya elimu?

na mtu mwenye higher diploma anaruhusiwa kusoma masters baada ya kufanya kazi kwa muda wa miaka miwili?
mbwembwe zote humu JF kumbe una higher diploma tu, kasome acha kukesha JF,
 
Kuuliza swali haimaanishi yeye anakiwango hicho cha elimu. By the way hata hapo alipo haina haja kumdharau.
 
ndo Elimu yake, ila sijamdharau nmemshangaa maana kuna sehem alinituhumu na kunionea sana.
 
Mkuu kwani higher diploma ni elimu ndogo? Mbona wakina Lukuvi ni la7 lakini ndio wanaiongoza nchi.
 
Hacheni hupotoshaji jamani udsm ni kazi sana kusoma masters kwa jpa ya 2.7.kuna jamaa yangu aliomba nafasi tena educatio na alikosa,jpa ilikuwa 3.5 kilimfanya akose ni competation ilikuwa kubwa....msidanganyanye tu
 
Meljons kwanini unasema hivyo
 
Hacheni hupotoshaji jamani udsm ni kazi sana kusoma masters kwa jpa ya 2.7.kuna jamaa yangu aliomba nafasi tena educatio na alikosa,jpa ilikuwa 3.5 kilimfanya akose ni competation ilikuwa kubwa....msidanganyanye tu

.......kama walitumia JPA ndo maana walikosa. Ila sisi hapa tunazungumzia GPA..
 
mbwembwe zote humu JF kumbe una higher diploma tu, kasome acha kukesha JF,

Ahahahahhahahahahhahahahahhahahahahahahahha mkuuu umemnasa pazuri,basi atajifanya anamuulzia mdogo ake

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Mkuu inaonekana mfumo wa NACTE huufahamu kabisa!

nadhani hata higher diploma huifahamu vizuri...

Acha kelele wewe kasome huko diploma n diploma tuuu

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Ni kweli Diploma ni Diploma hata iwe low,medium,au high
 
Acha kelele wewe kasome huko diploma n diploma tuuu

Sent from my iPhone using JamiiForums.uuuu

ha ha ha ha kuna watu wanadai advanced diploma ni sawa na degree, hii sio kweli kabisa
 
Waweza fanya postgraduate ili kuweka sawa qualification,then ukasomea masters mkuu! Ka sijakosea

Mkuu mimi nina gpa 3.4, nikafanya post.gr UDSM, na nikaombe kufanya Masters hapo hapo UDSM, na wankatosa
 
ha ha ha ha kuna watu wanadai advanced diploma ni sawa na degree, hii sio kweli kabisa

Hahahahaah mkuu kama ingekuwa sawa basi jina moja lingetolewa pale,sasa mbona sasahv hakuna tena hko kitu?diploma diploma tu

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Udom nao wanataka GPA ya ngapi
 
Masters unatakiwa kuwa na GPA ya lower second class yoyote ile ila pia itategemea na waombaji kwenye hiyo kozi
 
Back
Top Bottom