Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
3.4 nzuri hiyo unafanya masters bila ya kupita post graduate diplomaMkuu mimi nina gpa 3.4, nikafanya post.gr UDSM, na nikaombe kufanya Masters hapo hapo UDSM, na wankatosa
3.4 nzuri hiyo unafanya masters bila ya kupita post graduate diplomaMkuu mimi nina gpa 3.4, nikafanya post.gr UDSM, na nikaombe kufanya Masters hapo hapo UDSM, na wankatosa
Kuna utata kuhusu kujiunga na masters hapa tz ikiwa ati kila chuo kinataka Gpa na cut off ilozoweka.tufahamishane point ambazo mtu waweza soma masters.Nimepata Lower second ya point 3.3 Katika Degree ya kwanza hapa chuo kikuu cha Dar es Salaam
Mjomba Bumija GPA ya kusoma masters globally inaanzia 2.7 i.e unapopata second class tu una qualification ya kusoma masters pasi na postgraduate............ kwa ada vyuo vinatofautiana na coz pia zinatofautiana.... nilijaribu kupitia pale UD kwa social science fee inaanzia nahisi 6. kadhaa mpaka 8 millions, plus 4m ya research.... kwa info zaid waweza enda pale coz ndo time ya application hii............
Kwa Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO) unaweza kusoma masters kwa GPA hiyo ya 3.3.Kuna utata kuhusu kujiunga na masters hapa tz ikiwa ati kila chuo kinataka Gpa na cut off ilozoweka.tufahamishane point ambazo mtu waweza soma masters.Nimepata Lower second ya point 3.3 Katika Degree ya kwanza hapa chuo kikuu cha Dar es Salaam
Udom nao wanataka GPA ya ngapi
Mkuu mimi nina gpa 3.4, nikafanya post.gr UDSM, na nikaombe kufanya Masters hapo hapo UDSM, na wankatosa
mkuu la kukushaur nenda kwenye website ya chuo husika uangalie qualifications za kusoma kwa kila coz kuliko kishauriwa mambo ambayo cyo hum wakat wengn wanakushaur wana certificate kwo atakushaurije mambo ya master plz logic per twice ndugu alaf uchukue uamuz sahihiKuna utata kuhusu kujiunga na masters hapa tz ikiwa ati kila chuo kinataka Gpa na cut off ilozoweka.tufahamishane point ambazo mtu waweza soma masters.Nimepata Lower second ya point 3.3 Katika Degree ya kwanza hapa chuo kikuu cha Dar es Salaam
Mkuu kuhusu udsm kutaka 3.5 si kweli, maana hata 2018/2019 wameechukua mpaka wenye 2.7Kwa hapa Udsm wanataka 3.5 na mimi sijafikisha.Je kwa vyuo vingine naweza soma Masters ya Elimu au ndo naishia kadigrii kamoja mie
Jpa ndo nn hiyo comradeHacheni hupotoshaji jamani udsm ni kazi sana kusoma masters kwa jpa ya 2.7.kuna jamaa yangu aliomba nafasi tena educatio na alikosa,jpa ilikuwa 3.5 kilimfanya akose ni competation ilikuwa kubwa....msidanganyanye tu
Kwa wanaofanya researchUdom lazima uwe na GPA 3.5 au zaidi na bora zaidini 3.8 ili wakusomeshe otherwise utajibeba mwenyewe.