‘Govt should stop threatening journalists’ – Kubenea

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Tue, Jul 31st, 2012 | By Teonas Aswile

The General Director of Mwana Halisi Newspaper, Said Kubenea has advised the government of Tanzania to demolish all laws which downtrodden the journalism professional in the country.

Briefing journalists in the press conference he conducted today afternoon, Kubenea said for a long time the government has been using repressive laws which become barriers to the journalists who want to play well their role of informing and representing the public.

"As it is directed by the Newspaper Act of 1976, the government is not obligated to tell you the reason for censorship…a letter from the registrar informed me that I have been stopped to publish my newspaper and I have to read Government Gazette No. 258 of 27[SUP]Th[/SUP]July, 2012."

Kubenea said it's surprising to see the government does not work on the Media Stakeholders' proposal which wanted Tanzaniato have the law supporting freedom of information.

"The government has taken from us and all citizens the freedom of getting information from effective medium." explained Said Kubenea looking disappointed.

Also Kubenea said the action aims to kill the newspaper workers and all people who depend on Mwana Halisi to get their daily bread through publishing and selling it in streets.

The General Director asked the government to reverse the decision announced and allow the weekly newspaper to continue with publications.

Mwana Halisi newspaper published by Hali Halisi Publishers Ltd was banned yesterday by the Registrar of Tanzania accused of sedition.
 
It is a Multi-Party Country; why are we oppressing a Multi-Free Newspapers? we only embarrassed the one which kiss

and preach their love to the government even if the government cheat; DON'T TELL THE POPULATION THE TRUTH; LET's

STEAL STEAL and STEAL...

Ndio Maana Waandishi wetu wa habari hakuna hata siku moja kuna Mkutano na Rais na Waandishi wa habari kama UPO

Maswali ni Ulinunua wapi Shati; au Vipi Ndege ya Rais Nzuri Ndani? Hakuna Challenging Questions at all...

Sasa kwanini Mlisomea Journalism?
 
We all hv been deprived of our citizenship right to freely get information.
Will we remain silent on this barbaric system of the government to cover its rotten rats?
 
We all hv been deprived of our citizenship right to freely get information.
Will we remain silent on this barbaric system of the government to cover its rotten rats?
That's the otherside of Ujamaa - Dictatorship!
 
Kikwete govrt should fell very ashamed of barrying mwanahalisi newspaper. The citizens knows well why the govrt has decided to do so. It is because the whole ruling party ccm and its govrt are corrupt and kikwete knows this and is in favour of corruption continuity. Citizen will by no means forgive ccm and its govrt in 2015
 
Hivi ni kwa nini tunang'ang'ania kuandika makala kwa kutumia lugha za wengine? Kwani tukiandika kwa Kiswahili kuna tatizo gani, wakati ndio lugha yetu ya kujivunia?

The General Director of Mwana Halisi Newspaper, Said Kubenea has advised the government of Tanzania to demolish all laws
which downtrodden the journalism professional in the country.

Kwa upande mwingine ninaunga mkono harakati za kutetea mfumo huru wa habari na mawasiliano!
 
That's the otherside of Ujamaa - Dictatorship!

Hallo... Hallo... where is Ujamaa now? Do you see Ujamaa with our beloved leaders owns fancy houses?

At least during Ujamaa Nyerere alikuwa Mkali anatusengenya na kuwasengenya viongozi wake...

Sasa hivi angalia - wewe Unaita Ujamaa Umesikia Kiongozi wetu akitusengenya? anatuacha tunagoma, tunalalamika

hatusikii Msimamo wake au karipio lake; Umemsikia Akimsengenya kiongozi wake yoyote? wanabebana kwenye

Mapajero sijui hao SUMBAWANGA, KIGOMA kutoma misamaa kwa Nyanya, Michicha, vitunguu -eeh no kodi

Sio UJAMAA wa JK - tulikuwa na AMANI, TULIKUWA TUNAPENDANA - na wote tunapiga Ugali wa YANGA
 
Saed Kubenea, Mwandishi, Mhariri, Mkurugenzi na Mmiliki wa kampuni ya Hali Halisi Publishers wanaomiliki MwanaHalisi,ametoa tamko na kuzungumzia kufungiwa kwa gazeti lake. Hata hivyo hajafichua siri ya mkakati wake namba mbili. Taarifa kamili ni kama ifuatavyo;

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

31 Julai 2012

NDUGU waandishi wa habari,

Natumaini mna taarifa kwamba tangu jana, serikali imefungia gazeti la MwanaHALISI kwa muda usiojulikana.

Kama inavyoelekezwa na sheria katili ya Magazeti ya Mwaka 1976, serikali hailazimiki kukwambia mapema wala kukueleza sababu.

Huo ndio ufedhuli wa sheria ambayo Tume ya Jaji Nyalali ilisema, zaidi ya miaka 20 iliyopita, kwamba ama ifutwe kabisa au ifanyiwe marekebisho makubwa.

Barua kutoka MAELEZO ilitoa maelekezo tu kwamba nimezuiwa kutoa gazeti na kwamba nisome kwenye Gazeti la Serikali Na. 258 la 27 Julai 2012.

Sheria hii katili ya magazeti ingali hai. Haijafutwa. Watawala wanaihitaji. Wanaitumia kutunyang’anya uhuru wa kufikiri, uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa kuwasiliana. Wamefanya hivyo kwa MwanaHALISI. Wametishia kufanya hivyo kwa vyombo vingine vya habari. Hii ni hatari.

Lakini yote haya yanafanyika wakati serikali imekalia, kwa zaidi ya miaka miwili sasa, mapendekezo ya wadau wa habari yanayotafuta kuwepo sheria ya Uhuru wa Habari.

Serikali imetusikitisha. Imetuhuzunisha. Imetunyang’anya uhuru na haki ya kuwasiliana. Imepora pia uhuru wa wananchi wa kupata taarifa na habari kutoka chombo madhubuti.

Aidha, tendo hili la serikali limedhamiria kuua wafanyakazi na watendaji wengine katika kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited inayochapisha gazeti hili. Dhamira hii imejikita katika kauli ya serikali kwamba gazeti limefungiwa kwa muda usiojulikana.

Si hao tu. Kuna wanaotegemea kuchapa gazeti hili na kupata ujira. Kuna wanaotegemea kuuza gazeti hili na kuendesha maisha yao. Wote hawa serikali imeweka maisha yao kiganjani mwake - kuwaamulia uhai au kifo. Hii ni hatari.

Hii si sahihi. Hii si haki. Tendo la serikali, licha ya kuwa la maangamizi kwa biashara yetu; linatishia uhai wa wafanyakazi na familia zao.

Tunaitaka serikali iondoe amri yake ya kufungia gazeti letu. Tunaitaka serikali iache kutishia maisha ya raia wake kwa njia ya kutuondoa katika biashara. Tunaomba wasomaji wetu na wadau wengine wa habari, wasimame nasi katika kudai uhuru na haki yetu ya kutafuta na kusambaza habari. Nchi hii ni yetu sote.
 
Wanataka waandishi watega mikono kwa mafisadi ili wapate hela na kuandika kile wanachotaka,,,,mwanahalisi is the best and forever will be.
 
Wanataka waandishi watega mikono kwa mafisadi ili wapate hela na kuandika kile wanachotaka,,,,mwanahalisi is the best and forever will be.

for sure ma men. hawa sirikali ni kama kichaa asiyekuwa na macho ni hatari wanagonga kila kona nyambafu. dawa yao ni 2015 afu Watanzania wenzangu tukishindwa kuwahukumu hawa ktk sanduku la kura hakiyanani tutasota maisha yetu yote.
 
kazi zetu kupiga maneno watz ni mafala sana sisi kazi maneno maneno tu kulalamika sana but tutakufa bila kupata haki yetu.. kwani wenzetu misri syria wale sio watu tuacheni utoto tuwe na uchungu wa nchi yetu
 
Hakuna dhuluma wala uongo ambao ulishawahi kushindana na ukweli ukashinda, tanzania imejaa watawala katili kama nduli id amin lakini pamoja na ukatili wao hata wao pia wameshindwa. Mtanzania usikate tamaa. Freedom is coming tomorrow
 
It is a Multi-Party Country; why are we oppressing a Multi-Free Newspapers? we only embarrassed the one which kiss

and preach their love to the government even if the government cheat; DON'T TELL THE POPULATION THE TRUTH; LET's

STEAL STEAL and STEAL...

Ndio Maana Waandishi wetu wa habari hakuna hata siku moja kuna Mkutano na Rais na Waandishi wa habari kama UPO

Maswali ni Ulinunua wapi Shati; au Vipi Ndege ya Rais Nzuri Ndani? Hakuna Challenging Questions at all...

Sasa kwanini Mlisomea Journalism?

Unanikumbusha kipindi cha kampeni 2010 Kikwete aliita press conference. Mwandishi akauliza Mhe: Rais umezunguka nchi nzima je unaona hali ikoje?
 
Hivi ni kwa nini tunang'ang'ania kuandika makala kwa kutumia lugha za wengine? Kwani tukiandika kwa Kiswahili kuna tatizo gani, wakati ndio lugha yetu ya kujivunia?

The General Director of Mwana Halisi Newspaper, Said Kubenea has advised the government of Tanzania to demolish all laws
which downtrodden the journalism professional in the country.

Kwa upande mwingine ninaunga mkono harakati za kutetea mfumo huru wa habari na mawasiliano!

ndetichia like this
 
Tue, Jul 31st, 2012 | By Teonas Aswile

The General Director of Mwana Halisi Newspaper, Said Kubenea has advised the government of Tanzania to demolish all laws which downtrodden the journalism professional in the country.

Briefing journalists in the press conference he conducted today afternoon, Kubenea said for a long time the government has been using repressive laws which become barriers to the journalists who want to play well their role of informing and representing the public.

"As it is directed by the Newspaper Act of 1976, the government is not obligated to tell you the reason for censorship…a letter from the registrar informed me that I have been stopped to publish my newspaper and I have to read Government Gazette No. 258 of 27[SUP]Th[/SUP]July, 2012."

Kubenea said it's surprising to see the government does not work on the Media Stakeholders' proposal which wanted Tanzaniato have the law supporting freedom of information.

"The government has taken from us and all citizens the freedom of getting information from effective medium." explained Said Kubenea looking disappointed.

Also Kubenea said the action aims to kill the newspaper workers and all people who depend on Mwana Halisi to get their daily bread through publishing and selling it in streets.

The General Director asked the government to reverse the decision announced and allow the weekly newspaper to continue with publications.

Mwana Halisi newspaper published by Hali Halisi Publishers Ltd was banned yesterday by the Registrar of Tanzania accused of sedition.

Kubenea: MAGAZETI na WAHARIRI wake hawawezi kuoiongoza Serekali, si Serekali ya Tanzania au nyingine yeyote Duniani itakayokubali Ujinga Huo, aidha inaendeshwa Kidemokrasia au La. Demokrasia isiwe visingizio vya kuvuja Sheria.
 
Back
Top Bottom