Govt rejects IMF plan on minerals royalties | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Govt rejects IMF plan on minerals royalties

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Feb 18, 2012.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,419
  Likes Received: 81,466
  Trophy Points: 280
  Govt rejects IMF plan on minerals royalties

  Wednesday, 15 February 2012 22:49

  By Peter Nyanje
  The Citizen Reporter
  Dar es Salaam.

  The government has rejected a proposal by the International Monetary Fund (IMF) to introduce a new system to calculate mining royalties because doing so would adversely affect tax collections.Had the government agreed to introduce the single royalty payment, the amount of tax the government collects from the mining firms would have dropped significantly.
  The IMF wanted the government to introduce a one-off royalty payment procedure, according to documents seen by The Citizen, but the government objected on the grounds that its income would be hit hard if they were adopted.

  The proposal by IMF was discussed late last year by a team of government officials, Tanzania Revenue Authority (TRA) experts and auditors from the Tanzania Minerals Audit Agency (TMAA).

  According to minutes of the meeting, royalty collections from the mining companies would drop drastically if the government opted to the single royalty payment system.The royalties are the only form of tax the government is assured of collecting from the mining companies. They are calculated on the basis of the mineral or gemstone in question.

  The government rejected the proposals on the grounds of the fluid nature of gold prices on the international market.
  TMAA analysis reveals, for instance, that it takes gold bullion 10 days on average to move from the date of export to the date of actual sale on the international market. By then, the price is different from the one used to calculate the royalty.

  Since royalty is the only reliable source of revenue from the sector, the government argues, altering it would not be favourable. The government is aware that current royalties are low compared to what is pain in countries such as Botswana and Ghana, according to minutes signed by a TMAA official. Based on this, the government could consider increasing the rates and still remain competitive in the region.

  But the government is ready to consider another proposal by the IMF that involves introducing a resource rent tax, as is the case in some countries. Nevertheless, that taxation could only be implemented in a few mines.

  Meanwhile, the government has conceded that it lacks the capacity to make a close follow-up of the operations of the giant mining companies. The permanent secretary in the prime minister’s office told the meeting that the government needs to build local capacity to be in a position to challenge the ever rising costs of operations declared by the mining companies. Tanzania needs to develop specialised capacity to monitor and audit the ever growing mining and energy resource sector, said the PS, who was not named.

  At a meeting in Dar es Salaam on Tuesday, the deputy minister for Energy and Minerals, Mr Adam Malima, conceded also that the government does not have the capacity to track the operations of the powerful and tricky multinational corporations (MNCs).He said the companies had amassed huge profits from the mining sector even as many local citizens lived in abject poverty.

  Mr Malima said African countries had a long way to go in learning how to monitor mining activities run by MNCs that are tactical in amassing huge profits that cannot be tracked by African governments.
  “We have to learn more during this period when the giant mining companies benefit more from Africa’s mineral wealth than the citizens,” he said. “With time, the African social fabric is increasing the demand for rights to benefit from Africa’s resources.”

  Expanding on just how complicated the taxation mechanism in the mining sector can get, Mr Malima said the foreign mining investors have sometimes included in their accounts luxury components such as overseas wedding expenses for their sons in order to evade taxes. It was going to take time for African governments to learn more and build their capacity for monitoring the sophisticated mining investors, he added. Earlier, Ghanaian Minister for Minerals Kojo Busia said experience in running the mining sector during the post-colonial period had demonstrated a re-colonisation of African countries.

  Under globalisation, he added, powerful foreign investors have dictated terms in managing the vast African mineral resources.Dr Moise Nembot, the Deputy Chief Executive Officer of African Peer Review Mechanism, said the phenomenon of profits disappearing from the mining sector without the knowledge of governments denies African countries the opportunity to gain from their mineral wealth.
   
 2. h

  hmzuyu Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  simuelewi Hon Malima,
  Unaposema wanatuzidi ujanja si kweli kwani tuna sheria nzuri ya kodi(INCOME TAX ACT) ambayo kama ikitumiwa vizuri itaziba kwa asilimia kubwa mianya ya profit disappearing. Hilo suala la tujifunze kwanza huku wenzetu wakiendelea kufaidi peke yao sio sahihi, na ndio maana kwa nyerere ilikuwa ni bora tusichimbe mpaka tutakapokuwa na uwezo wetu binafsi.
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  IMF lazma wana elements za ki-bwabwa
   
 4. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Waafrika tumejiloga nini ? Tunaibiwa kiulaini, wanaosimamia akachukue mshiko huku wakisingixia hawana uwezo.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ndio maana mpaka leo hatuna uwezo. Sasa kaa tena usichimbe ungoje uwezo, utasubiri miaka 2000 ijayo na uwezo utakuwa huna. Na utapokuwa nao uwezo ni nani atanunuwa hayo madini yako? damned if you damned if you don't. Huna pakukwepa, lazima ucheze wanavyotaka wao, huna ujanja.
   
 6. O

  Ogah JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Karne hii....na rasilimali zote tulizonazo.........eti tunakiri hatuna capacity!!...............damn it!
   
 7. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Hata Naibu Waziri ana declare failure ktk usimamizi
  wa madini, very simple weka Watanzania migodini, washirikishwe say TISS na mtapata ukweli wa madini yetu yote, na serikali must enforce hizo ajira za wazawa migodini kupata taarifa sahihi ili walipe kodi, hivi hadi leo tunacheka na wazungu? Go to USA, UK, Germany, France, hawana utani hata kidogo na vyao, tuwe WAKALI NA SOLUTION ni WIN-WIN situation ya mikataba asiyetaka fukuza.
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,419
  Likes Received: 81,466
  Trophy Points: 280
  Hata "capacity" ya kuamua rasilimali za nchi zibaki ardhini mpaka hapo tutakapokuwa na "capacity" ya kuweza kuwadhibiti hawa majambazi wanaotuibia kupitia mgongo wa MNC nayo hatunayo!!!!
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0

  Hatuna uwezo huo, usijidanganye. Nani atakupa technology yake bure? Hata miaka 500 ijayo huna uwezo huo. Hayo madini yenyewe yote soko ni lao. Hata uchimbe leo, kama hawataki huyauzi. Hujayaona yaliyotukuta kwenye Mkonge?
   
 10. Habdavi

  Habdavi JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  hiyo argument ya kusema serikali haina uwezo wa kuwafuatilia ni kutuhadaa sisi wananchi ili tuamini na wao waendelee kuvuta muda mpaka huo uwezo upatikane wao wakiendelea kula faida ya madini yetu. International tax systems unataka kuniambia hakuna watu walio specialize kwa hili? Na kama hakuna, walikuwa wapi muda wote huo, madini yameanza kuchimbwa muda mrefu.
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Serikali kusema kuwa wanazidiwa ujanja na haya makampuni ya madini ni uwongo na uvivu wa kufikri. Hakuna mtu anayetegema waziri au katibu mkuu akae chini na kuanza ku-calculate kodi, lakini serikali ina uwezo wa kumleta mtaalam/watalaam wanaojua ujanja unaotumiwa na haya makampuni. Kwa nini hawajafanya hivyo?

  Kwanza nani asiyejua kuwa PriceWaterhouseCoopers (PWC) ni miongoni mwa washauri wa kodi kwenye makampuni ya madini? Hii seriiali haimjui David Tarimo wa PWC? Si huyu huyu bwana Tarimo alikataa kuwepo kwenye tume ya Bomani kwa sababu alisema ingeleta conflict of interest? Serikali imejaa wachovu.
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,419
  Likes Received: 81,466
  Trophy Points: 280
  Hakuna anayetaka Tanzania ipewe technology ya bure ili kuvuna rasilimali zake tunachosema kwa mwendo huu wa 3% kwa 97% ni wizi wa mchana kweupeeee bora hata tungeamua kuyaacha ardhini madini hayo. Kama Botswana wanawagawana na Wageni rasilimali zao 50/50 sioni kwanini Tanzania tushindwe kufanya hivyo.
   
 13. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  acheni mawazo yanayowafanya mkubali kila terms za mabepari ambao wanawatumia wachache kuwanyonya wengi. Dhahabu umeanza kuisikia lini? Hata kwenye vitabu vya dini inaonesha ilikuwa inathaminiwa,mpaka leo bado inathaminiwa. Ati nani atanunua! Kwani ni magunia ya katani?
   
 14. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  yaani we unafananisha vitu vinavyooza na visivyooza! Kweli akili ya mtu kama wewe akipewa madaraka hatuwezi badilika. Hata mkulima wa nyanya anajua nyanya siyo sawa na mahindi. Miaka mingapi madini yamekaa ardhini na bado yapo? Tusiwe western oriented kwa sababu familia zetu zinanufaika na rushwa za mikataba inayosainiwa bila kushirikisha wanasheria.
   
 15. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,056
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Yaani BAK Tanzania kweli inahitaji elimu ya kujitambua na wananchi kujua haki na uwezo walionao. Unajua kama baadhi yetu tutaweza kufikisha elimu hii kwa watanzania wengi, viongozi wetu hawata dhubutu kusema hatuna uwezo. Yaani kweli mtu anakaa na kusema hatuna uwezo wa tekinolojia halafu wengine wanakubali?

  Asante mkuu kwa kumuelimisha huyu jamaa

  Da afadhali wewe umesema ndugu maana mi nilikuwa na sikitika kusoma jinsi jamaa anavyofananisha madini na katani halafu utakuta wengi wetu wanamawazo kama ya huyu jamaa.
   
 16. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hizi serikali imeshindwa kuanzisha kampuni ya taifa ya madini na kuweza kusimamia madini?
  president taifisha migodi hii kulinda maslahi yetu.Wazungu watakuchukia waTz watakupenda daima ukizingatia ndio waliokupa kura.
   
 17. T

  TYRION LANNISTER JF-Expert Member

  #17
  May 15, 2014
  Joined: May 12, 2014
  Messages: 207
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  comedians at work
   
Loading...