Government to repossess TTCL | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Government to repossess TTCL

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Prodigal Son, Mar 23, 2010.

 1. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  After Zain pullout, govt to repossess TTCL

  The government is finalizing the process of re-possessing all shares in Tanzania Telecommunications Company (TTCL) after Zain pulled out of the partnership.
  Communications, Science and Technology minister Peter Msolla made the remarks in Dar es Salaam yesterday when opening the TTCL Workers Council.
  He said currently, Zain owned 35 per cent shares while the rest was owned by the government.
  The minister said that discussions to finalize the process were underway whereby the government would buy the shares from Zain before making it a fully government-owned firm.
  “Currently, we are in discussions in order to reach a consensus on the matter following Zain’s agreement to sell its shares to the government in order to make the company more efficient,” he said.
  However, he noted that in order for government efforts to improve running of the company to bear fruit, major plans were underway to ensure all government institutions paid TTCL an outstanding debt amounting to 9.2bn/-.
  Msolla observed that he had already issued an order to all sectoral ministries to start the payments this month.
  “The government plan is to ensure that TTCL runs at a profit. That’s why we have ordered all the government sectors to start paying their debts this month,” he said.
  He urged the council to act accordingly by advising the management to enhance and improve its efficiency so as to overcome the challenges of running the firm.
  The council asked the government to offer the company guarantees so it could secure loans from domestic and foreign institutions which had shown interest in increasing its capital.

  Source; IPP
   
 2. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Nini hatma ya haya mashirika ya Umma? yalianzishwa kwa jasho la wakulima na wafanyakazi wa tanzania sasa hivi yamegeuzwa kama sehemu ya makampuni ya nje kupata mtaji. Nini hatma ya TRC, ATCL,TTCL, kila siku tunasikia hekaya mpya kutoka serekalini, MO alichokifanya alitumia TTCL kuanzisha CELTEL now ZAIN twajua serekali ilikuwa na share CELTEL hatuambiwi kama bado inazihodhi hizo share au wakubwa wameshazigawana, Tunajua serekali ilikuwa na share MOBITEL-BUZZ= TIGO mpaka leo haijulikani kama hizo hare wamegawana au bado ziko mikononi mwa serekali
  Nini hatma ya haya mashirika ya umma? hakuna hata moja ambalo linafanya vizuri, kila kukicha ni utapelí wa wazi wazi. Imefika mahli sasa walipa kodi tuambiwe, ni faida gani tumepata tangu hii dhana ya kuuza kinyemela haya mashirika ianze

  Nionavyo mie na ninanyoamini TZ Inaongozwa na sera na mipango ya IMF na World Bank na wanafuata kila wanachoambiwa regardless ni kizuri au kibaya nod maana badala ya kwenda mbele tunarudi nyuma tena kwa kukimbia
   
 3. K

  Kimweri JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2010
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 3,998
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  hawajamaa si hawakulipa zile $60m.sasa serikali kwa nini iwalipe wao?
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  The best way ni kwa haya mashirika kuuziwa hisa waTz..Hivi ni lini tutapata akili ?
   
 5. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huu mchezo utaisha lini??????????????
  uchambuzi yakinifu unaozungumzwaga unaishi wapi??????????????????
  alwayz tunapiga maki taimu tu
   
 6. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160

  Mkuu,
  Tatizo tumejazwa ujinga wa kuamini matatizo yetu yatatatuliwa na foreigners only!!!
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Najaribu kuelewa hivi akina Idd Simba walifikia wapi na yale mawazo ya kununua haya mashirika ya umma wanayopewa wageni kwa bei za kutupa? au na wao walikuwa wasanii tu?
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kuyanunua kwa NICO??? Nimesikia sikia kuwa NICO na yenyewe ni kama DECI. Ndugu yake R. Mengi(1ja wa wajumbe wa bodi) alikopeshwa mihela ya wanahisa. trend ya NICO iliyoonekana kama mkombozi sio nzuri.

  Mbona hawaongelei analysis zaidi kuhusu matunda ya ubia huu? Je ulikuwa na faida/Hasara. Wamejifunza nini ? Sana sana naona anasema madeni. We need a detailed operational , technical and finacial analysis ya utendaji wa kampuni baada ya kuingia ubia


  Binafsi naamini ndoa ya Celtel na TTCL haikuwa na faida zaidi ya kuizima TTCL. TTCL ingesimama yenyewe chini ya uendeshaji wa watu sahihi ingekuwa mbali

  TTCL imefanyiwa sabotage na makampuni binafsi na viongozi wanaofanya decision kwa kulishwa maneno matamu. tu bila kuwa na Information sahihi. Celtel walichofanya ni kuhakikisha TTC ina stand still

  Kwa kutumia infastructure zilizopo TTCL ingekuwa ni data communication provider (ISP) mkubwa kuliko kampuni yeyote ile.
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ivi kwa nini tusiwe na shirika la umma la mfano jamani?kila kitu twawapa wawekezaji mbona wake zetu hatuwapi wawekezaji.
  Get some parastatals being purely under Tznians as an example.I know we can
   
Loading...