Assah Mwambene ameanza kuwa unprofessional katika utendaji.
Sijui analifuatilia MAWIO kwa sababu ya hisia za mmiliki wake ama nini. Maana alisema alikatazwa kufanya kazi na watu fulani tena kwa kushauriwa kiudaku udaku tu na watu wenye ajenda zao za siri hadi wakaja kulifungia Mwanahalisi. Leo wanatafuta sababu ya kulifungia Mawio.
Je habari iliyoandikwa ni ya uongo? Ni lini wasomi wa nchi hii watatumia taaluma zao?
Je habari iliyoandikwa ni ya uongo?Ni lini wasomi wa nchi hii watatumia taaluma zao?
ha ben, kwa hiyo unataka kutuambia kuwa chadema ni chama cha wakristo? kama ni hivyo basi mawio halina hatia. pia kwa maelezo yako ni kwamba chadema ni chama cha kikristo hivyo kimepoteza uhalali wa kuwa chama cha siasa
halafu ben kumbuka ile thread ya juzi iliyohusu makala hiyo. machadema wote mlililaani gazeti hilo ila kutokana na serikali kulionya mnaanza kulikingia kifua. mtu gani wewe ben? mbona unakuwa ndumilakuwili wewe? huna haibu na unachokiandika? unataka kuwaaminisha nini watanzania? au ndo msimamo wa chama chenu?
Mkuu, mbona katika hii habari ya serikali kuizuia Mawio hakuna mahali ambapo CHADEMA imetajwa? Kwani kuitenga CCM na serikali yake automatically ni kujiunga na CHADEMA? Mbona kuna vyama vingine vingi, na pia kuna kujitoa katika siasa bila kuwa na chama? Hebu panua mawazo yako basiha ben, kwa hiyo unataka kutuambia kuwa chadema ni chama cha wakristo? kama ni hivyo basi mawio halina hatia. pia kwa maelezo yako ni kwamba chadema ni chama cha kikristo hivyo kimepoteza uhalali wa kuwa chama cha siasa
Wataumwa na roho sana, kwani siku hizi vijijini hata wazee waantoa hela wapewe copy ya documents zilizoprintiwa toka JF.Je habari iliyoandikwa ni ya uongo? Ni lini wasomi wa nchi hii watatumia taaluma zao?
Wamelifanya maarufu at least mauzo ya wiki hizi mbili....yatahit records...Watu wengi hawajui km ni mbadala ya mwanahalisi.