Government Failure or Market Failure

OLS

JF-Expert Member
Oct 12, 2019
419
670
Ndugu yangu Mtego amenitumia ujumbe huu leo.

Yeah! ni kati ya machaguo mawili ambayo serikali inakumbana nayo kwenye hili suala la kuhamisha machinga.

Machinga ni mfanyabiashara anayeendeshwa na nguvu za soko(demand and supply) ambapo husababisha baadhi ya maeneo kukosa bidhaa kabisa i.e. Mtu anatoka Mbezi kwenda kufuata bidhaa Kariakoo (Moja ya Market Failure)

Serikali hupenda watu wapate huduma kwa namna fulani ambapo mara nyingine huweka majengo pasipo na watu, nadhani ushona baadhi ya majengo ya soko au stendi zikitembelewa na mbuzi na popo kwa kuwa haziko maeneo sahihi(Government Failure)

Mtego anasema katika hili, lizingatie hizo failures mbili kabla ya kufanya ya kufanya. Ni muhimu kuminimize hizo failures.

Signed
OEDIPUS
 
Back
Top Bottom