Gossip: Rais Magufuli anaweza asimtengue Waziri Mhagama kwa sababu zake binafsi..

Aliyetengua alikuwa awe wa kwanza kujitengua. Yeye ndiye aliyesaini sheria. Hapa ni kutafuta kisingizio tu. Au ile saini ilighushiwa?
 
Jenesta hayuko peke yake, Wabunge waliupitisha kihuni,tatizo ni bunge.Lakini yawezekana na Magu hakuwa makini.
 
Jenesta hayuko peke yake, Wabunge waliupitisha kihuni,tatizo ni bunge.Lakini yawezekana na Magu hakuwa makini.
Yaani huna hakika? Ile saini iliwekwa na wasaidizi wake? Siliono kosa la Mhagama. Labda kwa kuzingatia uwajibikaji wa pamoja wa Baraza la Mawaziri au kama bunge. Tatizo liko kwenye baraza la kutunga sheria (bunge na Rais). Mengine ni kiini macho tu
 
Wala si gossip ni kweli Jenista na Jokate ni binamu. Jenista ndiye alinyoosha njia ya Jokate kuingia UVCCM. Mengine yalianzia hapo.

Kusutwa ni suna. Have a nice weekend. Chao πŸ‘‹πŸΎ
Sio mabinamu ni mtu na mama yake mdogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…