Gossip: Rais Magufuli anaweza asimtengue Waziri Mhagama kwa sababu zake binafsi..

Aliyetengua alikuwa awe wa kwanza kujitengua. Yeye ndiye aliyesaini sheria. Hapa ni kutafuta kisingizio tu. Au ile saini ilighushiwa?
 
Jenesta hayuko peke yake, Wabunge waliupitisha kihuni,tatizo ni bunge.Lakini yawezekana na Magu hakuwa makini.
 
wapi?kwapani?
hahahahahah, siamini ulivyonigeuka
Screenshot_20181229-163843_Instagram.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jenesta hayuko peke yake, Wabunge waliupitisha kihuni,tatizo ni bunge.Lakini yawezekana na Magu hakuwa makini.
Yaani huna hakika? Ile saini iliwekwa na wasaidizi wake? Siliono kosa la Mhagama. Labda kwa kuzingatia uwajibikaji wa pamoja wa Baraza la Mawaziri au kama bunge. Tatizo liko kwenye baraza la kutunga sheria (bunge na Rais). Mengine ni kiini macho tu
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom