Gorge Mwakalinga ahamia CHADEMA

 
KULINGANA NA MAELEZO YA ASKOFU KAKOBE, BADO KABISA! YATATOKEA MAKUBWA ZAIDI MPAKA OKTOBA. REJEA BARUA YAKE YA WAZI ALIYOIANDIKA MACHI 10 MWAKA JANA. CCM LAZIMA IANGUKE HIYO NDIYO TIME TABLE YA MUNGU. WALISEMA ETI HAWANA MUDA WA. KUSHUGHULIKIA POLOJO ZA KAKOBE! WAMEKUTANA NA MUNGU WA KAKOBE ANAYEPONYA VIWETE, VIZIWI, MABUBU N.K KUPITIA ASKOFU KAKOBE. HATA DUNIA INAMJUA. WWW
bishopzacharykakobe.org
 
Naona inakuuma sana Mwakalinga kuingia kwenye mpambano wa kweli na Nguvu ya Ukawa.

Kama vipi basi kula limao.

Haa ha ha tarehe 26/10 utashuhudia kipigo cha tatu kwa ndugu yako, this time sijui atakuja na kisingizo gani, subiri na utakuwa shahidi.
 
Hapa umejionyesha rangi yako kuwa ni Mwakyembe team.

Sasa subiri mpambano wa october. Hayo ya Chadema na Ukawa wewe hayakuhusu.

Mwakalinga kaombwa kwa nuda mrefu kuhamia Chadema na hata hao walioshinda, pia wanamtaka.

Mie sio timu Mwakyembe bali ni timu Masonjo labda nina advantage ya kumfahamu vizuri sana Mwakyembe na siasa zao za Kyela, huyo jamaa yako anaipenda siasa lakini haijui na hana uwezo wa kuicheza, ata arudie mara ngapi ataendelea kupigwa tu.Subiri mwezi wa 10 utakuwa shahidi hapa.
 
Kama huyajui hayo subiri utakuja kujua siku Chadema wanatangaza wagombea ubunge,vuta muda.
kura za maoni za cdm kyela zilikwishafanyika na mh mwanyamaki ( mbunge mteule ) alishinda kwa kishindo , hazitarudiwa na tumemaliza kazi , sasa mwakalinga anaingiaje kwenye ubunge ? huyu katoka ccm kutokana na fitna za mwakyembe kuhujumu kyela fm , mwakyembe alikwisha mhujumu hata kipija ili afukuzwe umeya , anafahamika vizuri sana , sasa unapokuwa mwongo uwe na kumbukumbu , mimi nimewekeza kwenye siasa za kyela wanajf ni mashahidi , sikurupuki .
 
Mh. Nape na Comrade Kinana mtufafanulie, huyo ni kapi ama alikuwa na kadi feki?

Huyo ni kapi alishindwa na mwakyembe kwenye kura ya maoni kwa tofauti kubwa Mwakyembe alipata kura 15516 na huyo ----- alipata kura 4905 kaona akimbilie chadema akasake huruma ya mbowe
 
 
Nasikitika kwa hawa kuama chama/vyama baada ya kumwagwa upande mmoja, kwanini wasihame mapema? Mpaka wamwagwe? Ama hakika hawa ni wasaka tonge.

Endelea kusikitika lakini unapaswa kujua siasa ni nafasi ikipatikana inatumika
 

Ndio maana nakwambia japo upo ground Chadema Kyela wenzako wanadeal na makao makuu Dar es Salaam, jina la mgombea ubunge wa Chadema Kyela litakalotolewa na Kamati Kuu ya Chadema ni la George Mwakalinga, mwenzetu kaishaongea vizuri na wenye chama,sikuhizi ugombea Chadema unauzwa tu, mwenye pesa nyingi anapewa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…