iwingekuwepo angefanya mwingine... unadhani idea hua inafikiriwa na mtu moja? au kila kitu google wanachofanya akifikiria Larry Page? hamna, wanafikiria wengine sema google ananunua makampuni hayo anafanya kua part yake, wafanyakazi alionao kama isingekuwepo means wangekua kwingine tu, obviously someone else would have stepped up in the game...