Google waja na mpinzani wa WhatsApp

mareeTZ

Senior Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
171
Reaction score
181
Kampuni ya Google Jana ilizindua messaging app mpya inayoitwa allo itakayokuwa ikitumia namba za simu kama mtandao wa watsapp, allo imetofautiana kidogo na whatsapp kwani inakupa vitu vingi katika kureply SMS. Je Google wataweza kufua dafu au ndo watakuwa kama telegram... Tusubiri
 
Uzuri wa Google security hapo itakua ya juu sana ukilinganisha na whatsapp. Ngoja nijipakulie hiyo kitu.
 
Inapatikana kwenye OS gan na kwa jina gani?
 
Wangekuwa kama Telegram waweke hadi app ya pc ingekuwa poa sana kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…