assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
POLISI TANZANIA WAMFANYA TUNDU LISSU KUWA MTU MASHUHURI DUNIANI APATA HITS MILLIONI 82 KATIKA SEARCH ENGINE YA GOOGLE NYINGI KUTOKA AUSTRALIA, MAREKANI NA ULAYA WAKITAFUTA (SEARCH) NENO TUNDU LISSU.
Kesi anazofunguliwa Tundu Lissu na Polisi zimemfanya kuwa mtu mashuhuri duniani, Mtandao wa Google Search Engine umepata maulizo (hits) millioni 82 zote zikitafufuta (search) neno Tundu Lissu huku hits nyingi zikitokea Australia.
Kutokana na takwimu hizo za Google Search Engine sasa Tundu Lissu anaingia katika orodha ya watu mashuhuri duniani kwa gharama ya Polisi wa Tanzania. Tundu Lissu anamfuatia Donald Trumph kwa kupata hits nyingi katika mfumo wa Internet wengine wakiandika Tundu Lissu.
Katika kurasa za Facebook taarifa za Tundu Lissu and jina Tundu Lissu pia zimepata "Like" millioni nane na mia tano na sitini hadi leo saa kumi na moja jioni kwa saa za GMT.
Chanzo : Google Statistics