Umeweza kuship bidhaa mpaka bongo(kitu wasichoweza wengi) ka play stoo tu ndio kamekushinda😂wakuu habr za mud huu
Niliagiza oppo kikuu online katik maelezo yao walidai nakuta google play service iko tayar installed lakn haikua hvy kwa mtu ambay anajua namna kutatua tatizo nahitji msaada
Sasa si una i download kwenye browser ya simu yako kama apk file.wakuu habr za mud huu
Niliagiza oppo kikuu online katik maelezo yao walidai nakuta google play service iko tayar installed lakn haikua hvy kwa mtu ambay anajua namna kutatua tatizo nahitji msaada
mkuu sio kwamb sijui kurusha kwa sim hiii imekuja na version ya china haina application za google kutokan haina google play service ambazo zinaweza kuruhus zile appk muhim za google nizipate kam too search engine sio google ni baduUmeweza kuship bidhaa mpaka bongo(kitu wasichoweza wengi) ka play stoo tu ndio kamekushinda😂
Hapo wa kulaumiwa ni Kikuumkuu kiswahil chang kinawez kuwa kigum ee lakn nielew sim ambayo ina google play service inahuduma muhim za google mfan chrome,google, map,