Google pixel 5a 5g

Inaweza kuwa ni simu nzuri ila sio tunakuja kuhitimisha imeizidi sijui S 21 au Iphone fulani hawa watu wapo vizuri sana tusiwavunjie heshima zao...tuendelee kutanganza biashara ila hawa Ma Legend waheshimiwe..
 
chukua samsung 21 ultra na 22 ultra bado hufikii pixel 7 proView attachment 2390909

msifananishe samsung na vitu vya hovyo bana.

google kaingia sokoni rasmi na simu yake pixel xl 2016 ikiwa ndio simu inayochapa camera kuliko samsung.
lakini hajawahi kufurukura kwenye market share,pamoja na kwamba ni mtoto wa nyumbani.

ukitaka simu bora kwa kila kitu tutakwambia nenda IOS ukachukue iphone.
lakini ukitaka simu yenye kila sifa tutakwambia nenda korea kachukue samsung.
pixel 7 itakohoa kwenye camera tena upande wa picha tu,ila sehemu nyingine itapigwa kwa mbali tu.
 
Samsung made a deal with the devil
Pixel lineup kuanzia 6 inawatafuna vibaya
I bet kabla ya kufika pixel 9 Google wanaweza kuwa crowned kuwa Na best android smartphone

mambo sio marahisi namna hiyo.pixel ni simu zenye camera kali sana lakini hazina ukinzani sokoni.

angalia mfano kwenye bei simu ya pixel 6,6pro za mwaka jana na s21 na note 20 ultra,utagundua pixel zimeanguka bei sio kushuka.
 
View attachment 2392523
mambo sio marahisi namna hiyo.pixel ni simu zenye camera kali sana lakini hazina ukinzani sokoni.

angalia mfano kwenye bei simu ya pixel 6,6pro za mwaka jana na s21 na note 20 ultra,utagundua pixel zimeanguka bei sio kushuka.
Lakini ni kama wanatoa premium.

Wanataka wafanye kama apple
 
Samsung made a deal with the devil
Pixel lineup kuanzia 6 inawatafuna vibaya
I bet kabla ya kufika pixel 9 Google wanaweza kuwa crowned kuwa Na best android smartphone
kabisa wamedhaniria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…