Yeah.. ni kweliSina maana sio simu kwa sababu kwanza ya mtazamo cha kwanza iphone users hawaangalii mambo mengi wao ni brand tu ndo maana hata mtu anaweza kufake iphone 12 akaweka cover ili iwe kama iphone 14..
Nina maana gani wewe unajua vitu kibao ila most of iphone users hawajui wao ni brand tu ,tuangalia kweny picha za iphone zile zinakuwa kama zipo edited .
Kiufupi mi iphone siwezi kutumia mpaka sasa hawajanishawishi kwanza simu ni nzito Kama redio ,design fulani kama yaani imekaa kama chuma ..Ni sawa na kutumia Snapchat , TikTok yaani nimeshindwa kabisa
Ni kwamba watumiaji wa iphone wao hawajui baadhi ya sifa wao wanajua kwambaa xiam, sijui oppo, realme, Huawei ,google pixel ni uchafu tu[emoji23][emoji23] labda Samsung kwa sababu brand ni kubwa..
We jamaa utakuwa na mtindio wa ubongoIphone sio simu labda ya kuringia ni kawaida kwanza zishakuwa yeboyebo kila kona zipo.
Tambua kufananisha Google pixel na mambo ya ovyo ni kutokuwa mjanja..Naweza kubali kwa pixel 5 kurudi chini maana hapo hardware zake ni old model na alibase kweny software haswa kweny camera ila kuanzia pixel 6 pro hao iphone wakae chini kabisa bado .
Upigaji wa iphone picha kama watu wa Snapchat , level of saturation ni kubwa picha kila mtu ni mweupe hamn uhalisia hii ndo maana inawateka wanawake wengi..
Most of iphone users ni wafuata mkumbo na hawajui chochote ni ile prestige basi ,Nina hakika kama wangekuwa watu wengi ni wafuatiliaji na wana cognitive skills angalau kidogo hata kujua Soc kweny simu nn? Achana na RAM na ROM..Naapa izi simu kama Huawei ,xiam ,zingekuwa na soko sana.
Unfortunately wengi mnafuata mkumbo ndo tatizo .
We nawe unapiga picha unatoka mweupe wakati ni mweusi kama ukuta wa jiko...Then unasema camera kali utakuwa mzima kweli🤔We jamaa utakuwa na mtindio wa ubongo
Mkuu wap nimepigaWe nawe unapiga picha unatoka mweupe wakati ni mweusi kama ukuta wa jiko...Then unasema camera kali utakuwa mzima kweli🤔
aisee umenena Huawei ni machineIphone sio simu labda ya kuringia ni kawaida kwanza zishakuwa yeboyebo kila kona zipo.
Tambua kufananisha Google pixel na mambo ya ovyo ni kutokuwa mjanja..Naweza kubali kwa pixel 5 kurudi chini maana hapo hardware zake ni old model na alibase kweny software haswa kweny camera ila kuanzia pixel 6 pro hao iphone wakae chini kabisa bado .
Upigaji wa iphone picha kama watu wa Snapchat , level of saturation ni kubwa picha kila mtu ni mweupe hamn uhalisia hii ndo maana inawateka wanawake wengi..
Most of iphone users ni wafuata mkumbo na hawajui chochote ni ile prestige basi ,Nina hakika kama wangekuwa watu wengi ni wafuatiliaji na wana cognitive skills angalau kidogo hata kujua Soc kweny simu nn? Achana na RAM na ROM..Naapa izi simu kama Huawei ,xiam ,zingekuwa na soko sana.
Unfortunately wengi mnafuata mkumbo ndo tatizo .
Ukuta wa jiko[emoji23][emoji23]We nawe unapiga picha unatoka mweupe wakati ni mweusi kama ukuta wa jiko...Then unasema camera kali utakuwa mzima kweli[emoji848]
Je unaizungumziaje Google Pixel 6 Pro RyzenAchana na hii kitu, kama una bajeti ya kununua iphone 11 au 12 please pita kwanza uchukue pixel halafu ukirudi tena kwenye iphone niite mbwa nimekaa paleee
https://www.gsmarena.com/google_pixel_6_pro-10918.php
ahahaa mkuu hao ni wanazi wa pixels, mie mnazi wa Samsung.. hii itakuwa first time naijaribu pixel!Je unaizungumziaje Google Pixel 6 Pro Ryzen
=
View attachment 2480411Code:https://www.gsmarena.com/google_pixel_6_pro-10918.php
[emoji344]bei mpya za simu Used za Google pixel(but clean as new[emoji95]), mabingwa wa camera[emoji991] duniani, kutoka marekani
pixel 3a(64gb) 280,000Tsh
pixel 3axl(64gb) 320,000Tsh
pixel 3xl(64gb) 390,000Tsh
pixel 4 (128gb) 480,000Tsh
pixel 4a(128gb) 440,000Tsh
pixel 4a 5g (128gb) 580,000Tsh
pixel 4xl(64gb) 500,000Tsh
pixel 4xl (128gb) 600,000Tsh
pixel 5 (128gb) 700,000Tsh
pixel 5a (128gb) 770,000Tsh
pixel6a(128gb) 1,000,000Tsh
pixel6pro (128gb) 1,300,000Tsh
six months warranty [emoji736]
WAKUU HIZI BEI NI FAIR??? USED
Iphone user tunaipenda hii brand kwakuwa haishukii dhamani kirahisi. pia ni rahisi kuiuza bila kuanza kuipigia promo. pia kwasisi wafanyabiashara tunatumia camera sana (picture,video ) hapa sasa kama video hana mpinzani. kiufupi hakuna simu inayofunika iphone kwenye ku record video hapa nasemea iphone . nyie wa xs max kushuka chini tulieni kwanza mfano mimi natumia 13 prom max. hakuna flagship yoyote ya 2021 inayoipita kwauwezo wakukaa na chaji hata ukiiweka mwaka 2022 inaweza kushika tena nafasi zajuu. kabisa kiufupi google pixel 7 pro kwa iphone 13 pro max sizani inaweza kuingia ukitoa kupiga picha tuu. naongea hivyo maana hizi simu nazishika kila siku kiufupi ukimukuta mtu ana simu ya milion 2 kwenda mbele. hata kama ni oppo huyo hajafata mkumbo bali ni chaguo lake sahihi huwezi kutupa million kwamkumbo lazima atakuwa kafanyia uchunguzii
Tayar unawakataa wenzako wenye xsmax kisa simu yako inakaa sana na charge[emoji23][emoji23].
Point ya kwamba simu ya iphone haishuki thamani ndio point ya msingi na ya kueleweka kuliko nyingine ukizojaribu kuziainisha hapo.
Swala la videos na picha,sina uhakika umeishia kushika simu gani kama ulivyosema,ila unapozungumzia video iphone iphone ina videos bora ila sio picha.picha haifurukuti hata kidogo.pixel>samsun>>>>>>>>iphone.
charge inaisha baada ya masaa mangap kwa mtu ambae muda mwingi anashinda mtandaoninasoma comments na Google pixel 4 haina shida vijana wangu 🥱[emoji18][emoji18]
[emoji1][emoji1][emoji1]We nawe unapiga picha unatoka mweupe wakati ni mweusi kama ukuta wa jiko...Then unasema camera kali utakuwa mzima kweli[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23]We nawe unapiga picha unatoka mweupe wakati ni mweusi kama ukuta wa jiko...Then unasema camera kali utakuwa mzima kweli[emoji848]
yangu inakaa muda mrefu sna ukiwa online bila kuzima data zaidi ya masaa 12charge inaisha baada ya masaa mangap kwa mtu ambae muda mwingi anashinda mtandaoni
ukiwa online unaitumia ama umewasha tu data halafu haupo online ndo inamaliza hyo masaa?yangu inakaa muda mrefu sna ukiwa online bila kuzima data zaidi ya masaa 12
ukiwasha dataukiwa online unaitumia ama umewasha tu data halafu haupo online ndo inamaliza hyo masaa?