Google pixel 5a 5g

Hakuna kama iphone kwenye video quality mzee.

Kujaza maspecs makubwa haimaanishi simu yako itatoa end results nzuri.

Kuna masimu yana specs za kufa mtu kwenye camera ila end results zinatsikitisha.
 
Hujaelewa bado.

Kuwa na specifications kubwa sio guarantee kwamba simu yako itakuwa the best.

Kuna simu zina the highest specifications na zinatoa boko kwenye camera.

Nilikwambia toka mwanzo, sahivi mwenye the best softwares in image processing ndo ataonekana ana camera nzuri.

Apple na Google Pixel hapo ndo wanapowapigia makampuni mengine kwenye hiyo department.

Kuwa na chip yenye jina kubwa kwenye simu yako ni useless kama haijawa optimized na all components na mostly na software yako.

Apple anatengeneza chip zake na anatumia ios ambayo ni yake, iphone by far zinaonekana well optimized kwenye kila department. Google amekuja na chip yake baada ya kuona magic apple anayoipata. Tensor chip ipo optimized na camera, android software tena stock.

Sasa hao kina Xiaomi wanaokota chip toka snapdragon, software toka android, camera toka leica unategemea awashinde wanaooptimize simu zao from ground up?

Mfano mzuri ni blind smartphone camera test inafanyw ana mkbhd, kwa miaka mitatu kama sio minne google amebeba. Tena camera zake hazina specifications kubwa kama za hao anaoshindana nao. Unadhani ni kwanini? Image processing software.

Likn hizo hapo.

1. Android Central's Best of 2022 Awards

2. What's the best Android phone? We tested hundreds, here are our top 8

3. Top Phones for 2023

4.
6.
7.
8.
9. The best phone to buy right now

10. The Best Android Phones Of 2022

11. https://www.consumerreports.org/smartphones/best-smartphones-of-the-year-a7852223918/

Na ubora wa simu unapimwa na watumiaji kwasababu wao ndo wanakutana na changamoto kila siku. Pixel 6 ilivyotoka ilikuwa na matatizo chungu mzima ila on paper ilikuwa inaonesha ni simu bora.

Kuna mwaka Samsung alitoa masimu mabovu tena flagships, ila on paper specs za kufa mtu.

Kujaza specifications hakufanyi simu iwe bora au itoe end results bora.

Xiaomi ni midrange phone company, anajitutumua ila bado sana kufika levels za kina Samsung na Apple.
 
Xiaomi smartphones ni All rounder, hayo madude yote uliyoyataja Xiaomi yupo
Ila kuna shida hapo kwenye Google Pixel, hao jamaa wamebase kwenye software na camera ila sehemu nyingine waboronga[emoji38][emoji38]
Halafu Xiaomi wao wanauza simu zao kupitia online store yao wenyewe. Xiaomi kwa sasa zinaanza kuwa popular na zinaingia kwenye list za mauzo bora ya simu siku hizi
 
Hakuna kama iphone kwenye video quality mzee.

Kujaza maspecs makubwa haimaanishi simu yako itatoa end results nzuri.

Kuna masimu yana specs za kufa mtu kwenye camera ila end results zinatsikitisha.
Sijaongelea iPhone hapa
Ngoja nikukumbushe battle inahusu nini kwanza
Hapa ninashindanisha Xiaomi 13 Pro vs Google Pixel 7 Pro
Kwa kuwa umeshaikumbuka battle sasa ngoja nikurudishe kwenye statement yangu. Nimesema hivi, Xiaomi 13 Pro inarekodi video za high quality kuliko Google Pixel 7 Pro, sijaitaja iPhone
Safari hii nakuomba usijaribu kukimbia mada[emoji38][emoji38]
 
Basi naomba unilistie mambo ambayo Google Pixel 7 Pro imeizidi Xiaomi na mimi nikutajie Xiaomi 13 Pro imeizidi nini Google Pixel 7 Pro
Bado naona unalazimisha zaidi list, wakati mimi nataka tulinganishe hizi simu mbili kwa facts.. Yaani mkuu unasababisha niiponde bure tu moja ya brands ninazozikubali
Xiaomi 13 Pro ni kali kuliko Google Pixel 7 Pro karibia kila kona. Tushindanishe hizi simu mbili sasa wewe unaniletea mimi mambo ya awards [emoji23][emoji23] yanahusianaje?
Xiaomi anatumia kamera ya LEICA, kioo cha Samsung, OS ya Google, chipset ya Qualcomm na software yake mwenyewe ila natoa simu kali kuliko huyo Pixel anayejitegemea[emoji23][emoji23]. Kwani shida iko wapi hapo, cha msingi atoe simu kali tu.
By now Google Pixel ni ushuzi mbele ya Xiaomi
Halafu umetiririka wee, mwishoni unasema Xiaomi hatoifikia Samsung na Apple halafu hujatoa sababu za msingi[emoji23][emoji23] au ndio technic ya kusaka support kutoka kwa wadau wa Samsung na iPhone[emoji38][emoji38]
Umeshindwa kuitetea Google Pixel kwa facts, sasahivi unatafuta support kwa wadau wa Samsung na Apple.
Hapa Google Pixel haipaswi kutembelea nyota za Samsung na Apple, battle ibaki palepale Xiaomi vs Google Pixel[emoji41][emoji41]
 
Kwa akili yako unadhani kwakuwa simu imewekwa ram ya 16gb itakuwa the best kwenye user experience kuliko yenye 8gb?

Unajua hata maana ya software optimization?
 
Kama unadhani kujaza specs ndo kunafanya simu iwe bora basi you are still a toddler in this area.

Link zote zimeonesha simu bora za mwaka 2022.

Google pixel ametoboa kote huko.

Hiyo Xiaomi yako mbona haijaonekana hata sehemu moja??

Android Authority wametoa simu bora za 2022 Xiaomi hayupo.

Android Central wametoa simu bora za 2022 Xiaomi hayupo.

Hiyo Xiaomi yako ipo wapi.?
 
DXO Mark Rankings hizo.

Huyo Xiaomi wako hajakatiza popote pale.

Google pixel ametokea kwenye category kadhaa.View attachment 2472382View attachment 2472383View attachment 2472384View attachment 2472385
 
DXO Mark Rankings hizo.

Huyo Xiaomi wako hajakatiza popote pale.

Google pixel ametokea kwenye category kadhaa.View attachment 2472382View attachment 2472383View attachment 2472384View attachment 2472385View attachment 2472386
Kumbe hadi leo unafuatilia DXO Mark Rankings[emoji23][emoji23], hao jamaa wana upendeleo na hivyo hutengeneza list ambazo hazina mantiki
Anyway, nimeshakuambia Xiaomi 13 Pro ni Chinese ROM nashangaa wewe unaisaka kwenye global lists[emoji38][emoji38] huwezi kukuta Chinese ROM smartphones hapo
Kwa hiyo solution ni moja tu, tuzichambue simu hizi mbili kona moja baada ya nyingine, utakuja kuniambia, Pixel ni ushuzi
Ukiwa tayari kwa battle niambie tuanze
 
Wewe kwa uelewa wako wa simu hadi sasa, ukiangalia hizo list za Android Authority na Android Central unaona zinamake sense[emoji38][emoji38] Yaani hata mkulima kutoka Bukoba ukimuonesha hii list atashangaa
Halafu mimi sijasema eti kwa kuwa specs ni kubwa basi simu itakuwa bora. Labda nikuandikie kwa herufi kubwa pengine utaelewa. Nimesema hivi, "XIAOMI 13 PRO INAREKODI VIDEO ZA HIGH QUALITY KULIKO GOOGLE PIXEL 7 PRO" mbona unapenda kutoka nje ya mada wewe?
Hiyo Xiaomi 13 Pro ipo officially in China kwa sasa, huku nje ya China watu huagiza kwa kuwa wanataka vitu bora. Kwa hiyo usitegemee kuikuta Xiaomi 13 Pro hapo kwenye list zako mpaka Global version itoke. Hiyo Google Pixel 7 Pro inapitwa hata na Xiaomi 12S Ultra kiuwezo ambalo ni toleo la nyuma kabla ya Xiaomi 13 Pro. Mimi napenda hiyo part unayoiogopa wewe, yaani BATTLE[emoji41][emoji41]
Njoo tuzichambue hizo simu kona mojamoja tuone nani mnyama, mbona hutaki?[emoji23][emoji23]
Ukiwa tayari kwa battle utaniambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…