Google Map walipataje majina ya mitaa na barabara zetu?

Google Map walipataje majina ya mitaa na barabara zetu?

majibu ni kwamba kunakitu kinaitwa survey ambayo kwa sasa ina julikana kama Geomatcs ikisaidia na Geoinformatcs hzi mambo zna usika kwa kukusanya data zote za kigeografia na kupembuliwa na baadhi ya softwares kama GIS ,geographical informatn systm, ambazo znasaidiana satelite image kwa pamoja znatupa hyoo out put
 
Ok, nataka nijue hiyo project ilitumia utaratibu gani kupata majina ya vichochoro. Wazawa walifuatwa wakaulizwa au watendaji wa vijiji au ni kitu gani?

Nikijibu hili swali nitakuwa mmoja wao wakati sio...google uwaulize!
 
Nikijibu hili swali nitakuwa mmoja wao wakati sio...google uwaulize!
Tangu mwanzo ulitakiwa ukae kimya ili wanaojua wajibu. Si kila jukwaa ni la kuvamia tu, mengine ni maji marefu!
 
oyii bro si mwenzako kajaribu kukupa japo mwanya kidogo sasa mbona unamjibu tena vibaya?
 
Nijuavyo mimi, ramani nyingi sana za mipangomiji na master plans ziliandaliwa wakati wa ukoloni na hata baada ya uhuru kuna wazungu waliendelea kidogo kufanya kazi kwenye eneo hili kwa hiyo wana data nyingi mno hata zaidi ya majina ya mitaa.

Hata Topographical maps nyingi tunazozitumia sasaivi ni zile zile ambazo waliziacha wao kwa hiyo hata vijiji, misitu na rasilimali nyingine nyingi wanazifahamu vizuri pengine kuliko hata taasisi zetu zilivyotakiwa kujua.

Inawezekana hii imechangia sana wao kujua ila lazima kuna protocol fulani ya kuhusisha mamlaka kutumia hayo majina...
Aha ndio maana mpaka leo nikiperuse google earth maeneo y manzese,magomeni kinondoni nakuta kuna 'lake mwananyamala' inawezekana kulikuwa na ziwa kwenye ule m'bonde ngoja jirani yangu ana bibi yake kikongwe alishawahi kuishi (kulima) maeneo hayo miaka hiyo akiwa kigori.
 
Back
Top Bottom