Mkuu soma vizuri swali langu. Sitaki kuamini kama satellite inaweza ikajua kuwa hapa panaitwa Marwa Road na pale panaitwa Wasira Street
Ok, nataka nijue hiyo project ilitumia utaratibu gani kupata majina ya vichochoro. Wazawa walifuatwa wakaulizwa au watendaji wa vijiji au ni kitu gani?
Mkuu soma vizuri swali langu. Sitaki kuamini kama satellite inaweza ikajua kuwa hapa panaitwa Marwa Road na pale panaitwa Wasira Street
Ni mipango ya Mungu tu mkuu...isikuumize kichwa sana....
raia wengine tunasaidia ku-map.... especialy sehemu za ndani ndani, hata we unaweza kufanya hivyo na baadae wao watapitia na kuhakiki!!!!Kama ulivyoelezwa hapo mwanzo kuwa wachangiaji wakubwa wa kurekebisha mitaa hiyo na vitongojp na majengo ni wewe mwenyewe. Kama uMember wa Google kuna option katika Google map ya kujiunga na kutoa majina na kusahihisha Baadhi ya wenzako nao watachangia kwa kuikubali basi wanaiweka lakin wakikataa basi inaondolewa
- Wataulizwa wenzako km ni kweli wakikubali imepita wakikaa kimya haujapita wakiikataa haijaputa
- Mimi nimeshachangia marekebisho na kuipa mitaa ya Mji wa Dodoma na wakaikubali km Barabara ya 6,7,8,9,10,11&12 kwani ilikosewa wakanikubalia
- lakini baadhi ya Hotel za Mji wetu kuna Member tola India alipinga sana hasa kutokana na majina ya Kizungu haikupita lakini kweli zipo
Kwa sababu Google ndiyo mtandao mkubwa duniani,na kwa sababu world satellite ndiyo inayoongoza kui-view dunia nzima.Kuna uhusiano kati ya Google na world satellite.
Ha ha ha ha,umejibu kimsogamsogaaaNi mipango ya Mungu tu mkuu...isikuumize kichwa sana....
Watu wa tech mkishindwa kumjibu huyu jamaa kisawasawa mtakuwa mmetia aibu sana jukwaa hili! Okoeni jukwaa lenu fasta!