Google Kutoa Kompyuta ya Miwani Mwaka Huu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,141


[h=3]Google Kutoa Kompyuta ya Miwani Mwaka Huu[/h]





Google ni ulimwengu wa uvumbuzi wa bidhaa na majaribio ya teknolojia, katika baadhi ya mawazo na uvumbuzi ambao Google wanaendelea kufanyia kazi kuna mambo ambayo sio ya

kufikirika, gari inayojiendesha na kompyuta ya kuvaa kama miwani ni miongoni mwa teknolojia hizo, kwa mtazamo wa haraka unaweza kudhani kuwa itachukua miaka zaidi ya 10 Google kuweza kuziuza bidhaa hizo kwa watu wa kawaida.



Ukweli ni kwamba Google imeshatangaza kuwa Google Glass itaanza kuuzwa mwaka huu wa 2013. Google Glass ni kompyuta ambayo huvaliwa kama miwani na ina uwezo na matumizi

mbali mbali kama vile kurekodi video na kupiga picha. Katika ongezo jipya la Google Glass ni kwamba kompyuta hiyo itaweza kutumia amri za sauti (voice command), kuanzisha amri ya

sauti unatakiwa kuiambia miwani hiyo “OK Glass” na miwani itaanza kukusikiliza unataka ifanye nini kabla ya kuipa amri kama vile “record video”. Pia Google wameonyesha baadhi ya matumizi

ya miwani hiyo ambayo ni ya kawaida kabisa mbali na yale ya kuchupa na parashuti kutoka kwenye ndege.
gajetek habari: Kompyuta

 
Hapo kwenye glare sijui inakuwaje. Na hicho kiswahili cha kwenye google translator hawajakiwezea hadi sasa, sie na vingereza vilivyovunjika itakuwa lugha gongana.
 
[h=3]Google Kutoa Kompyuta ya Miwani Mwaka Huu[/h]
Google ni ulimwengu wa uvumbuzi wa bidhaa na majaribio ya teknolojia, katika baadhi ya mawazo na uvumbuzi ambao Google wanaendelea kufanyia kazi kuna mambo ambayo sio ya kufikirika, gari inayojiendesha na kompyuta ya kuvaa kama miwani ni miongoni mwa teknolojia hizo, kwa mtazamo wa haraka unaweza kudhani kuwa itachukua miaka zaidi ya 10 Google kuweza kuziuza bidhaa hizo kwa watu wa kawaida.
Ukweli ni kwamba Google imeshatangaza kuwa Google Glass itaanza kuuzwa mwaka huu wa 2013. Google Glass ni kompyuta ambayo huvaliwa kama miwani na ina uwezo na matumizi mbali mbali kama vile kurekodi video na kupiga picha. Katika ongezo jipya la Google Glass ni kwamba kompyuta hiyo itaweza kutumia amri za sauti (voice command), kuanzisha amri ya sauti unatakiwa kuiambia miwani hiyo “OK Glass” na miwani itaanza kukusikiliza unataka ifanye nini kabla ya kuipa amri kama vile “record video”. Pia Google wameonyesha baadhi ya matumizi ya miwani hiyo ambayo ni ya kawaida kabisa mbali na yale ya kuchupa na parashuti kutoka kwenye ndege.gajetek habari: Kompyuta
Niwahi kuona kitu kama Hii TED SHOW. Kuna mshikaji mmoja wa INDIA alikuwa ana Demonstrate kitu kama hii.
 
kama ulkuwa humjui, yule ndiye founder wa google, anaitwa sergey brin, ni jewish sio muhindi, hata mm niljua ni bollywood star coz jamaa kafuga ndevu sasa hivi!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom