๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ณ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ถ๐˜๐˜„๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20251208_211023_0000.png

Kama unatumia simu ya android Kuna feature mpya inakuja upande wa phone ambapo Google wametambulisha kinaitwa "Urgent calling" kwenye Simu za Android.

Google-Phone-call-reason-urgent.jpg

Kupitia skrini ya kupiga simu utaweza kuona feature mpya ya Call Reason - Mark as Urgent inakupa nafasi ya kumjulisha / kumwambia Mtu unayempigia simu aweze kufahamu hiyo simu unayompigia ni muhimu sana na anatakiwa kupokea mara moja.

Wakati anapigiwa ataweza kuona ujumbe wa "It's Urgent ikiwa na emoji bila kusahau taarifa hiyo pia itakua na uwezo wa kuonekana mpaka kwenye Call history.

30686-removebg-preview.png

Mfumo utapatikana kwa watumiaji wa Android version 16 ambapo utaweza kumsaidia mpokeaji kuelewa kuwa simu aliyopigiwa ni muhimu na taarifa unayotaka kumpatia ni muhimu hivyo alipaswa kupokea simu mara moja.
 
Itakua na kiswahili labda maana wwngine lugha ni changamoto!
Kwe upande wa Lugha ni English ila baadae wataweza kuongezea Lugha nyingine pamoja na uwezo wa Mtumiaji Kubadili maandishi kwa kuweka anayotaka kwa Lugha yake ila kwa sasa ni English pekee
 
Back
Top Bottom