Google ikizimwa nini kitatokea?

Google ikizimwa nini kitatokea?

Wewe ndio boya unakurupuka bila kutumia akili kujibu hoja nzito,mtu akikwambia unga kilo moja ni bil 50 sio kwamba haujui bei ila anataka ufe njaa.Ni lini utaanza kufikiri kwa kutumia akili
umepanic Na kutokwa Na povu kisa kagusia Sizonje alivyokurupuka kusema jamaa kakamatwa Na $ billion airport. Asingegusia Hapo usingemjib hivyo kwa jazba
 
hii ishu ya yahoo inaumiza Yani mpaka 2011 yahoo ilikuwa the most visited homepage. Yahoo, internet explorer Na Nokia sijui Nini kilitokea
Google wajanja sana mkuu
umepanic Na kutokwa Na povu kisa kagusia Sizonje alivyokurupuka kusema jamaa kakamatwa Na $ billion airport. Asingegusia Hapo usingemjib hivyo kwa jazba
Hamna mkuu ,kaniita popo
 
Mkuu hakuna service wanayoitoa google ambayo hakuna mbadala. Mfn youtube kuna dailymotion, google search kuna yandex search, duck duck go, android kuna windows, ios n.k. Sema google amedominate ila wapo watu wanatamani adondoke wao wachukue nafasi. Nokia alilega na symbion yake watu wakatake over. Thats tdchnology!
 
ishu nayotaka kukwambia ni kwamba google ni kitu ambacho kina umuhimu mkubwa sana katika maisha yetu ya kila siku na hatujajiandaa kuhama!..
Mlolongo wa kifo mende cha Nokia, Blackberry, Yahoo na zingine ulichukua muda sana halafu havikuwa tegemezi kama ilivyo Google!..hebu angalia ndani ya dakika 5 asilimia 40 nusu saa tuna assume ni 80-95% internet imekufa ndani ya saa 1 tutakua na 98% hapo watu hawajapata akili, makampuni hayajaanza fungua account na kutafuta njia za kurecover data zao google cloud!..
Ukisikia kuamka masikini ndio huko!..
 
Wazime tu! microsoft watafanya party la kufa mtu asee. Abiria wote watahamia BING na Vimeo
 
Google ni distributed system. Kitaalamu haiwezi kuzimika yote labda itokee natural disaster kubwa ya kuikumba dunia nzima. But by then it would not matter as we would all be dead anyway.
 
Ngoja nigoogle nini kitatokea, subiri nitaleta mrejesho....
 
Google ni distributed system. Kitaalamu haiwezi kuzimika yote labda itokee natural disaster kubwa ya kuikumba dunia nzima. But by then it would not matter as we would all be dead anyway.
Angalia nini kilitokea kwa dakika 5 tarehe 16 august 2013 saa 9:50-9:55 mchana!.
 
Hivi umeshawahi jiuliza siku Google ikizimika nini kitatokea duniani?, Maisha yatakuwaje bila google, maana google inakusanya Youtube, Android platform, Gmail, Google+, Google apps, Google maps na vitu vingine kibao.

Sasa cheki hii mwaka 2013 mwezi wa 8 tarehe 16 Google ilizimika kwa dakika 5 tu kati ya saa 9:50 - 9:55 mchana, kilichotokea internet traffic ilishuka kwa asilimia 40 duniani. Yani ndani ya dakika 5 watu wakapoteana kwa 40% hebu fikiria ingekuwa nusu saa au dakika 15 nini kingetokea?.

Tukio hili Google wenyewe walishindwa sema nini kilitokea zaidi ya kutoa taarifa tu. Hiyo ndio nguvu ya Google katika kuamua maamuzi ya dunia.
View attachment 693821
tutaendelea na ios, sailfish, n.k. search engine tutaendelea na bing, maps nzuri ni za nokia zinaitwa ovi maps ndizo zinatumika kwenye automatic car navigation systems.
kila kitu kina alternative tu
 
tutaendelea na ios, sailfish, n.k. search engine tutaendelea na bing, maps nzuri ni za nokia zinaitwa ovi maps ndizo zinatumika kwenye automatic car navigation systems.
kila kitu kina alternative tu
kila kitu kina alternative lakini madhara ya anguko la Google ni makubwa sana!...kuna almost watu zaidi ya Billion 2 wanaotumia android platform hapo hujaongelea other google products!..
 
Back
Top Bottom