Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,194
Hivi umeshawahi jiuliza siku Google ikizimika nini kitatokea duniani?, Maisha yatakuwaje bila google, maana google inakusanya Youtube, Android platform, Gmail, Google+, Google apps, Google maps na vitu vingine kibao.
Sasa cheki hii mwaka 2013 mwezi wa 8 tarehe 16 Google ilizimika kwa dakika 5 tu kati ya saa 9:50 - 9:55 mchana, kilichotokea internet traffic ilishuka kwa asilimia 40 duniani. Yani ndani ya dakika 5 watu wakapoteana kwa 40% hebu fikiria ingekuwa nusu saa au dakika 15 nini kingetokea?.
Tukio hili Google wenyewe walishindwa sema nini kilitokea zaidi ya kutoa taarifa tu. Hiyo ndio nguvu ya Google katika kuamua maamuzi ya dunia.