Google Chrome inaniudhi inatabia ya kucrash mara kwa mara
IE full kimeo, ipo slow sana na inatabia ya kufail connection hata kwa issues ndogo kama GC
Opera mini sio mbaya sana lakini nadhani ni nzuri zaidi kwenye simu
Safari ya kawaida sana
Mozilla is the King, haijawahi kuniangisha. maona ipo fasta ina maextantion ya kufa mtu kurahisha maisha
Maxthon is the best. Pls try it
download internet explorer 10 au test beta 11 uje ulete feedback kama ipo slow au la
how about the multi tabs?
Bro, umesema Chrome iko na shida kwa multitabs, Kiaje sasa. Could you clarify and expound your point?
Nafkiri hiyo hutegemea na processing capacity ya machine yako my friend, browsrr zote hucrash,Tofauti na browser zingine, googlechrome ukifunguwa tabs 3 na kuendelea lazima itakusumbuwa, speed yake itapunguwa na pengine inaweza ku-crash kabisa. Hili ndilo naliliona ni tatizo kwa chrome upande wangu.
Thanks to you too, I only think you could be a better contributor if you could exhaust your point by touching a little bit on those 'few stuff' that the other browsers lack.,When talking of Internet explorer we ought to be more specific as to which version of I.E we are talking of, asking of my research and opinions I prefer Mozila browser due to its extensions and browsing speeds. But let's agree to disagree that Internet Explorer 9 & 10 are the fastest browsers on Windows but they lack few stuffs which would make them useful to me. That's all, Thank You
Nafkiri hiyo hutegemea na processing capacity ya machine yako my friend, browsrr zote hucrash,
I respect your opinion, thanks for contributing, my learned friend.Sawa my friend, hayo ni maoni ya upande wangu kama ulivyokuwa umetutaka tuchangie. Mimi nimeshatumia browser kama 10 hivi mpaka sasa lakini googlechrome ndiyo naipenda zaidi kutokana na aina ya kazi ninazozifanya mara nyingi.