Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Exynos ni moja ya Processor Nzuri tu inakuaje inakosa Maana Kuna Flagship zinatumia Exynos hasa za Global Version
Tatizo ni jinsi app yenyewe iliyotengenezwa. Kuna developers wameshajaribu kui modify ili ikubali kwenye processor ya exynos lakini hakukupatina majibu mazuri ukilinganisha na snapdragon
 
Back
Top Bottom