Stock camera with potrait mode setting.
By redmi note 4xView attachment 1209190
Heshima kwako.... Imekubali
Wale wenye Android 9 kuna AR sticker za Gcam ni balaaa
Mkuu umekuwa ukinitenga sana.. Nimekuomba link ya gcam y samsung j7 neo android 9
unapomwambia mtu upgrade kirahisi tu,wakati ni swala la kutoboka.Bado mkuu...humu gcam naona haiwez kaaa kabisa...fanya ku upgrade device mkuu
Kwann kk?Mtk hiyo mkuu hauwez weka gcam