Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

sure mkuu,,tusubr updates pengne watakuja na hzo features,,so far so good
Done. The night sight mode works perfectly.
Generally ni camera nzuri sana, shukrani mkuu. I wish kungekua na feature ya mirror front camera kama ilivyo kwenye stock camera na pia kungekua na option ya ku capture selfie kwa fingerprint sensor kama stock camera. All in all the images produced are the best.
 
Shukrani kwa thread Mkuu nimetafta link ya Grand prime samsung sijaipata msaada tafadhali
 
Wide ange najua ataintroduce kwenye pixel 4 na 4 xl... kuna issue km zzooming.

Siwezi fananisha ability ya p20 pro kuzoom na hizo pixel
naamini inategemea & mapenzi ya mtu sana sana
mfano zooming ya hii huawei mpya ni wangapi wataitumia ipasavyo? makampuni muda mwingine huzindua kitu ilimradi wajitape kuwa wa kwanza kwenye hilo
 
Bata ndani ya Gcam
Photo_1557768285790.jpeg
 
Back
Top Bottom