Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Tupo pamoja mkuu

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Lakini bado sijafanikiwa imeniandikia hivi
Screenshot_2021-08-16-15-30-44.jpg
 
Mkuu msaada wako kwenye hii comment yangu
kcamp
Mkuu simu yako ni MTK ,sasa kupata gcam humo ni kipengele...jarbu hii nnayo kupa..sio gcam yenyew kabisa...ni light version ya gcam kwa visimu vya mtk

Lakin pia unaweza jarbu hii hapa chini ni gcam yenyew sema ufanye kubet tu

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Nitumie tu mfano labda mtu anauza software flani lakini kuna mwingine hiyo software hanunui sijui anafanya process gani.

kuna namna flani ya kuipakua namanisha inakuwa haiko original kama ile ya mtengenezaji.
Crack mkuu

Kazi yako haiitaji cracked software wala nn...tool ya bure kama odin inafanya hiyo kazi vzr tu

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom