Nyie wakuu kaeni benchi KwanzaVipi sisi wa Infinix na tecno
8.2 ya developer gani mkuuMkuu kcamp naomba configuration za gcam version 8.2 ya redmi note 8
anaitwa PitbuLl
anaitwa PitbuLl
Hapa ndo kwenye balaa
mkuu vp naweza pata link ya Gcam kwa Sumsung galaxy note 9??
Oya simu gani unatumiaHapo vipi wakulungwa na picha ya usiku tulivu Kwa hisani ya GcamView attachment 1874974