Google balaa!:A car without a steering wheel

Aqua

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
1,658
1,229
Thomas Edison's teachers said he was "too stupid to learn anything." He was fired from his first two jobs for being "non-productive." As an inventor, Edison made 1,000 unsuccessful attempts at inventing the light bulb. When a reporter asked, "How did it feel to fail 1,000 times?" Edison replied, I didn’t fail 1,000 times. The light bulb was an invention with 1,000 steps. Never Quit!
Nothing is impossible when you dedicate your energy into it,soma hapa uone google na mpango wao wa gari isiyo na steering wheel.
 
actual nokia na patner zake walianza kabla ya google na nchi nyingi za ulaya na australia wameshaanza kufkiria kueka sheria ya kuendeshA gari bila kugusa steering, gari ambazo ziko powered na here maps zitaanza mwanzoni mwa 2015 kuingia barabarani.

cheki mifano yake hapa
Mercedes showcases self-driving S 500 powered by HERE - HERE Three Sixty
Nimeiona imetulia ,sasa huku sisi kitechnologia tuko nyuma sana.Tutakuwa watazamaji tu,jamaa wanatisha.Sasa naamini kuna technologia inakuja tutakuwa tunaprint vitu na si kutengeneza.Kwa mfano unaprint simu,laptop,etc.
Dunia inabadilika haraka sana.
 
Wanataka tu kutuondolea uroda wa kudrive, sasa misele.tutapiga vipi bila usukani!
 
Nimeiona imetulia ,sasa huku sisi kitechnologia tuko nyuma sana.Tutakuwa watazamaji tu,jamaa wanatisha.Sasa naamini kuna technologia inakuja tutakuwa tunaprint vitu na si kutengeneza.Kwa mfano unaprint simu,laptop,etc.
Dunia inabadilika haraka sana.

Hahahahahaha! Umetisha
 
Back
Top Bottom