mmm mi adsense yangu sijui imerogwa na nani? kila kitu kipo sawa ila matangazo hayaonekani kene blog yangu. Browser iko empty fresh hakuna adblocker wala takataka yeyote na kwenye dashboard ya adsense inasema ads ziko active! msaada
mmm mi adsense yangu sijui imerogwa na nani? kila kitu kipo sawa ila matangazo hayaonekani kene blog yangu. Browser iko empty fresh hakuna adblocker wala takataka yeyote na kwenye dashboard ya adsense inasema ads ziko active! msaada
vipi mkuu kama umejua siri na sisi wengine tunaomba utujuze tufanyeje maana wengine ndiyo tunategemea adsense kama ajira kwa hiyo tukifungiwa account fb ni majanga.kama mimi jana nilipost habari kwenye groop moja tu ile najaribu kupost groop linginje wamenifungia tayari siku kumi nimeshangaa sana nashindwa kuelewa nifanyeje.au nitumie njia gani mkuu
mmm mi adsense yangu sijui imerogwa na nani? kila kitu kipo sawa ila matangazo hayaonekani kene blog yangu. Browser iko empty fresh hakuna adblocker wala takataka yeyote na kwenye dashboard ya adsense inasema ads ziko active! msaada
Pole ankonadhani ni kwa vile umechukua Web Niche nzuri ya Afya ni rahisi kupata alafu web umeidesign fresh sana template nzuri kinoma iko clean...kaza umepige hela ila achana na ishu za Adsense trick me nalia huku usijaribu!!
Adsence trick zinakuliza kivipinadhani ni kwa vile umechukua Web Niche nzuri ya Afya ni rahisi kupata alafu web umeidesign fresh sana template nzuri kinoma iko clean...kaza umepige hela ila achana na ishu za Adsense trick me nalia huku usijaribu!!
Trick not accepted unless otherwise unataka ufungiwe na mpunga usiupatate, mbaya zaidi uwa wana block bado kidogo upoke mpunga wako. so Play fair and get what you deserve.Adsence trick zinakuliza kivipi
site yako imekaa vizuri mkuu hongera.Habari, wanaIT nimeona threads nying humu ndani watu wanasema google adsense ni ngumu kupata, mbona mimi nimepata kirahisi tu nilivyofata masharti yao na wamenipa. Kwanza waliniambia itakuwa blank then after on day waka activate na sasa yanaonekana.
Cheki hapa: uwamini maneno yangu: Afyazone - Ask experts about your health ujionee kwa macho yako.
huwezi kutoa pesa watakufungia.Adsence trick zinakuliza kivipi
site yako imekaa vizuri mkuu hongera.
huku kupo safi hapa ni asubuhi zipo 28.176$. mpaka usiku zimefika dollar 200$, hizo adsense hata usipotumia tricks huwezi kutoa zaidi ya dollar 500$ kwa mwezi lazima iwe disabled haswa account mpya.. labda uwe na organic traffic .. wakati kwa revenuehits na propellarads unatoa zaidi ya dollar 3000$ kwa mwezi..ni traffic yako tuuHabari, wanaIT nimeona threads nying humu ndani watu wanasema google adsense ni ngumu kupata, mbona mimi nimepata kirahisi tu nilivyofata masharti yao na wamenipa. Kwanza waliniambia itakuwa blank then after on day waka activate na sasa yanaonekana.
Cheki hapa: uwamini maneno yangu: Afyazone - Ask experts about your health ujionee kwa macho yako.
Ivi izo google adsence mpaka kua applay lazima uwe umepost .topic ngapi na ni vitu gani muhimu wanahitaji sana kwenye website yako viwepohuku kupo safi hapa ni asubuhi zipo 28.176$. mpaka usiku zimefika dollar 200$, hizo adsense hata usipotumia tricks huwezi kutoa zaidi ya dollar 500$ kwa mwezi lazima iwe disabled haswa account mpya.. labda uwe na organic traffic .. wakati kwa revenuehits na propellarads unatoa zaidi ya dollar 3000$ kwa mwezi..ni traffic yako tuu
****NOTE****
Cha muhimu nakupa kongole(hongera) site yako ipo vizuri sana,clear na niche nzuri, endelea kukomaa na unique and original contents na jaribu kukuza organic traffic utafika mbali hata mimi nina site kama hiyo(niche site) but ime-base kwenye I.T.
View attachment 457189
ukiwa na post original 100 za kiingereza zilizoshiba lazima wa-agree..chini ya hapo unaweza kupata au kukosa...Ivi izo google adsence mpaka kua applay lazima uwe umepost .topic ngapi na ni vitu gani muhimu wanahitaji sana kwenye website yako viwepo
Post mia moja kweli hatari.ukiwa na post original 100 za kiingereza zilizoshiba lazima wa-agree..chini ya hapo unaweza kupata au kukosa...