Goodluck Ole Medeye kwamba 2015 anagombea ubunge Jimbo la Arusha kumng'oa Godbless Lema

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,334
989
*****************
Akiwa Bungeni dakika tatu zilizopita Goodluck Ole Medeye alikuwa anaomba mwongozo kwa Naibu Spika kuhusu kauli ya Godbles Lema kwamba yeye Medeye ni mbaguzi.

Medely akatumia nafasi hiyo kutangaza kwamba 2015 anagombea ubunge wa jimbo la Arusha alikozaliwa ili kupambana na Godbless Lema wa CHADEMA anayelishikilia jimbo hilo kwa sasa.
*****************

SOURCE: MAJADILIANO YA BUNGENI KUCHANGIA BAJETI YA PRIME MINISTER
DATE: TODAY,
TIME: THREE MINUTES AGO.
 
Wanaukumbi

Najikuta nikicheka juu ya hatua ya mbunge wa Arumeru magharibi kudai anataka kugombea ubunge alipozaliwa yaani Arusha Mjini.
Huyu Medeye ambaye ana harufu ya kutukosanisha na wazawa wenzetu WACHAGA,Huko Arumeru Magharibi hakuna hata anayemtaka,ambapo mwaka ujao hata ktk kura za maoni hawezi kupata hata nafasi ya tatu.

Medeye anayeishi mikocheni Dar,huko Arumeru hata ccm wenzake hawataki kumsikia Medeye kwa kuwa HAJAHAMASISHA MAENDELEO.

KWANZA OLE MEDEYE ATUELEZE AMEZALIWA ARUSHA URBAN KATA IPI?

TUNAVYOJUA MEDEYE AMEZALIWA SEKEI ARUMERU AMBAYO WANANCHI AMA MAHOME BOY WAKF HAWAMTAKI.

Bora Ole Medeye AENDELEE NA BIASHARA NYINGINE KWANI..

HAWEZI MOTO WA GODBLESS LEMA.
 
Jimbo la Arusha litarudi CCM. Wananchi wamechoshwa na vurugu za chadema arusha.
 
*****************
Akiwa Bungeni dakika tatu zilizopita Goodluck Ole Medeye alikuwa anaomba mwongozo kwa Naibu Spika kuhusu kauli ya Godbles Lema kwamba yeye Medeye ni mbaguzi.

Medely akatumia nafasi hiyo kutangaza kwamba 2015 anagombea ubunge wa jimbo la Arusha alikozaliwa ili kupambana na Godbless Lema wa CHADEMA anayelishikilia jimbo hilo kwa sasa.
*****************

SOURCE: MAJADILIANO YA BUNGENI KUCHANGIA BAJETI YA PRIME MINISTER
DATE: TODAY,
TIME: THREE MINUTES AGO.
kila siku nasema kwamba Lema ni machine nyingine alichoongea leo bungeni kwa sisi watu makini tunampongeza sana na mimi kama mpiga kura wake nimefurahishwa na kauli ya Medeye kwamba atagombea Arusha Mjini naahaidi kuanzia leo naanza kampeni ili Lema ashinde kwa kishindo 2015
 
Kwahiyo ameamua mwenyewe kulishuhudia Bunge kwenye kideo kama sisi? Haya haina shida kwanza anafaida gani pale bungeni.

BACK TANGANYIKA
 
huyu madeyee ana kiwewe cha kuukosa unaibu waziri
sasa tujiulize ni kwanini JK amemuona hafai na akamtoa kwenye nafasi ya unaibu waziri wa ardhi?
madeyee siasa sio chuki kama unacyotaka kuwaaminisha watu mkuu,
mbona mlikuwa kimya wakati jimbo hilo linashikiliwa na MREMA wa CCM?
ANGALIA SANA MKUU WAMASAI SIO WA KUWADANGANYA KAMA UNAVYO JIAMINISHA MKUU
 
Kwake kumemshinda anaenda kung'ang'ania mjini?

Kipi special alichofanya Arumeru kustahili kuwa mbunge tena?
 
Back
Top Bottom