Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Erythrocyte, Dec 13, 2015.

 1. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2015
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 39,436
  Likes Received: 16,412
  Trophy Points: 280
  Wakuu,

  Natanguliza salamu , huu ni zaidi ya uchaguzi, ni zaidi ya kuchagua, tupeane taarifa kuanzia maandalizi, ulinzi wa vituo pamoja na mwamko wa wananchi , hatua kwa hatua mpaka matokeo yatakapotangazwa.

  Nakala kwa Crashwise na Ephata Nanyaro

  ====================

   
 2. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2015
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 39,436
  Likes Received: 16,412
  Trophy Points: 280
  heshima kwa moderator , nisaidieni kuedit heading .
   
 3. anthony kasile

  anthony kasile Member

  #3
  Dec 13, 2015
  Joined: Nov 20, 2015
  Messages: 90
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Kwel mkuu maana arusha ni zaidi ya magu
   
 4. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2015
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 11,049
  Likes Received: 14,080
  Trophy Points: 280
  Chadema itashinda Arusha mjini hapo sielewi kwa nini Mbunge wa Arumeru mashariki kaamua kukaa Kando kwny Josh kampen
   
 5. J

  JF Member JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2015
  Joined: Dec 14, 2014
  Messages: 924
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 80
  Bora hili nalo liishe mtu aliwe kichwa
   
 6. Mukwano jebaleko

  Mukwano jebaleko JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2015
  Joined: Mar 30, 2015
  Messages: 406
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 60
  Vipi ccm ikishinda
   
 7. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2015
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,117
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kituo cha kupigia kura cha Faraja - Arusha mwamko si mkubwa kwa tulioko kituoni kwa sasa, tuko kama vijana 50.

  Naamini bado watu watakuja, namtakia kila la heri Lema.
   
 8. Savimbi Jr

  Savimbi Jr JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2015
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 2,024
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Tupe update basi mkuu.
   
 9. Crocodiletooth

  Crocodiletooth JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2015
  Joined: Oct 28, 2012
  Messages: 9,550
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Ni kipimo kizuri sana juu ya magufuli,anapendwa au la!
   
 10. kuduman201036

  kuduman201036 JF-Expert Member

  #10
  Dec 13, 2015
  Joined: Aug 26, 2015
  Messages: 2,990
  Likes Received: 1,285
  Trophy Points: 280
  sawa kila la kheri watu wangu wa nguvu wa A - Town.
   
 11. Mmawia

  Mmawia JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2015
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 54,433
  Likes Received: 19,238
  Trophy Points: 280
  Leo hii wana Arusha tunakwenda kutimiza tu wajibu wa kusimama mistari na kupaka rangi ya kucha kwenye vituo maalum maana tayari kama ni kupiga kura tayari tulisha mchagua mheshimiwa Lema kuwa mbunge wetu.
   
 12. sirluta

  sirluta JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2015
  Joined: Nov 28, 2012
  Messages: 6,011
  Likes Received: 1,372
  Trophy Points: 280
  Lema ashachinjwa.
   
 13. J

  Jolishi Member

  #13
  Dec 13, 2015
  Joined: Nov 9, 2015
  Messages: 16
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  kila la heri, katimizen haki yenu ya kikatiba
   
 14. b

  buzu JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2015
  Joined: Dec 20, 2014
  Messages: 375
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  tupe update kamanda
   
 15. sirluta

  sirluta JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2015
  Joined: Nov 28, 2012
  Messages: 6,011
  Likes Received: 1,372
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa JF. Mbunge wa Arusha ni Monaban
   
 16. S

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2015
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  kituo cha sinoni shule ya msingi wapo wapo ila sip kama ule uchaguzi mkuu
   
 17. TAWA

  TAWA JF-Expert Member

  #17
  Dec 13, 2015
  Joined: Jun 23, 2013
  Messages: 3,486
  Likes Received: 731
  Trophy Points: 280
  Hivi mgombea wa ccm anaitwa nani? Alifanya kampeni kweli!!?
   
 18. b

  bdo JF-Expert Member

  #18
  Dec 13, 2015
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,676
  Likes Received: 1,557
  Trophy Points: 280
  Hapo kuna heart voters 101 wa CCM wapo njiani wanakuja kufunga hesabu
   
 19. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2015
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  tukumbusheni jina la mgombeA wa ccm maana hatulijui
   
 20. ally linje

  ally linje JF-Expert Member

  #20
  Dec 13, 2015
  Joined: Feb 28, 2013
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu ndio Mollel Chaguo letu wana A town
  Mungu amsaidie sana maana tunaenda kupata mkombozi Kwa vizazi vyetu vijavyo Arusha
   

  Attached Files:

Loading...