chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Mbunge wa Ulanga ameshangaa suala la wao kukatwa kodi kwenye kiinua mgongo na kudai kuwa kwa mipango hiyo mwakani serikali inaweza ikawaambia wauze magari yao watembelee pikipiki na baiskeli na mwaka unaofuata watasema wapangishe ikulu rais akaishi Mbagala.
Amesema viongozi wa Tanzania wanapaswa kuwa wa kwanza kusamehewa kodi kisha wananchi pia wasemehewe baadae na wao