Mbunge wa jimbo la Ulanga, Goodluck Mlinga akizungumza kuhusu hati za kusafiria China na Uingereza

OGTV

JF-Expert Member
May 22, 2016
353
167
Mbunge wa ulanga amesema yupo radhi Posho zake zikatwe ili mjusi aliyepelekwa ujerumani arudishwe Tanzania.
Msikilize hapa Mbunge wa jimbo la Ulanga Goodluck Mlinga akizungumza kuhusu hati za kusafiria China na Uingereza pia amegusia suala la mjusi aliyeko Ujerumani na suala la uraia pacha.
 
Huyu dogo akamalizie kwanza shule , yaani hajui tofauti ya mtz kwenda UK Na UK Citizen kuja Tz ??
 
halafu anaongea ka yuko kijiweni, ila kanena, jaza viza fomu ya UK, manake paper 13 zote unajaza utadhani wewe ni gaidi, uweke mpaka hati za nyumba, bank statement, wakati wao huku wanapita tu, kisa umaskini wetu,
 
... Yeah kisa umaskini wetu Na hivyo sio kosa lao UK
 
Huyu dogo akamalizie kwanza shule , yaani hajui tofauti ya mtz kwenda UK Na UK Citizen kuja Tz ??

Dogo anatafuta ' Kiki ' za Kipuuzi kweli wakati hata huo Ubunge wake tu umepatikana kwa upendeleo Chamani na dhuluma tupu kwa upande wa pili ambao na Wao kwa mshangao kabisa leo hii wanamuunga mkono na kumsifu aliyewaibia na akawa Mbunge.
 
Back
Top Bottom