HAHAHAH! VIJEMBE VYA TAARABU BUNGENI!

OGTV

JF-Expert Member
May 22, 2016
353
167
1. Goodluck Mlinga: TUKIRUHUSU KUKATWA KODI , MWAKANI WATATUAMBIA TUUZE MAGARI YETU
Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga amepinga vikali kitendo cha wao kukatwa kodi kwenye kiinua mgongo huku akiongezea kuwa wakiruhusu mpango huo ufanyike mwakani serikali inaweza kuwaambia wauze magari yao

2. Juliana Shonza: VIONGOZI WA CHADEMA NI KAMA HERODE, NAIBU SPIKA NI KAMA YESU
Mbunge wa CCM Juliana Shonza amedai viongozi wa CHADEMA ni wana wivu na wao ni kama Herode na wanamuonea wivu naibu spika ambaye nyota yake inang'aa kama yesu

3. LUSINDE: MOJA YA VIONGOZI MADIKTETA NCHINI NI MBOWE

4. Goodluck Mlinga: WABUNGE WA UPINZANI WAKITOKA NJE WANAENDA KUFANYA UHALIFU

Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga amedai wabunge wa upinzani wakitoka nje wanaenda kufanya uhalifu.
 
Uwezo wao ndio huo, wanaacha kujadili bajeti wao wanajadili watu
 
Ndo kilichowapeleka hao hao wabunge wa ccm huko mjengoni
 
Bora mara 100 wanaotoka nje, kuliko wanaobaki ndani wanayoyaongea ni hewa nzito...
 
Yani hao ndo majembe yao na hapo ndo washamaliza kila kitu hawawezi kuongezea kitu kingine hapo. Dah Kweli "LIKE PARENTS LIKE CHILDREN"
 
1. Goodluck Mlinga: TUKIRUHUSU KUKATWA KODI , MWAKANI WATATUAMBIA TUUZE MAGARI YETU
Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga amepinga vikali kitendo cha wao kukatwa kodi kwenye kiinua mgongo huku akiongezea kuwa wakiruhusu mpango huo ufanyike mwakani serikali inaweza kuwaambia wauze magari yao

2. Juliana Shonza: VIONGOZI WA CHADEMA NI KAMA HERODE, NAIBU SPIKA NI KAMA YESU
Mbunge wa CCM Juliana Shonza amedai viongozi wa CHADEMA ni wana wivu na wao ni kama Herode na wanamuonea wivu naibu spika ambaye nyota yake inang'aa kama yesu

3. LUSINDE: MOJA YA VIONGOZI MADIKTETA NCHINI NI MBOWE

4. Goodluck Mlinga: WABUNGE WA UPINZANI WAKITOKA NJE WANAENDA KUFANYA UHALIFU

Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga amedai wabunge wa upinzani wakitoka nje wanaenda kufanya uhalifu.

Huyu jamaa huenda huwa anakuwa kalewa
 
HAO WABUNGE WA CCM HAYO WAYASEMAYO NDO WALIYO TUMWA NA WAPIGA KURA WAO?
KAMA HIVYO NDIVYO SI HERI ALOTOKA KULIKO ANAYEONGEA MAWAZO YAKE HASI BUNGENI?
NINGEWAONA WA MAANA KAMA WANGEACHA KABISA KUWA-ATTACK OPPOSITIONS.........
.....Ndo maana binafsi natamani VITI MAALUM visiwepo......
 
Pamoja na magumashi aliyopiga kwenye madini na ubinafsishaji usio na macho, Mkapa jana ameongea mambo ya msingi sana. Hakuna analytical discussions nchi hii, yan unakuta a recent graduate from University, vijana wadogo ambao ndo tungetegemea akili ziwe sharp wanaongea vumbi tu.
Bajeti kama hiyo iko kwenye majadiliano ya maamuzi, ilipaswa kuchambuliwa kweli tujue impact yake kwenye uchumi wa nchi kwa jumla na namna inavyo address changamoto tulizonazo, lakin wapi bana yaaan ni zeeeeeee!
Manake ni kwamba hawa vijana hakuna kitu kichwani, na ndo maana wazee wanawadharau sana vijana wa siku hizi. Yan ni full vilaza.
 
Back
Top Bottom