Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 10,526
- 13,014
Kichwa maji utamjua tu.
Ni kifaa Cha kutesea magaidi
Ni kifaa Cha kutesea magaidi
Zakaria shujaa wangu wa muda wotee, angeua kabisaaa.Sio huyo tu, hata huyu mtoto wa Mahita ametajwa kuwepo Tabora wakati wa hii operation. Na ndio huyo huyo alikuwa Kilimanjaro kuwashughulikia kina Adamoo. Ndio hawa wasiojulikana wanaozurura nchi nzima kutesa Watanzania.
Mungu aendelee kumbariki Zakaria wa Tarime kwa namna alivyoshughulika nao walipoingia anga zake.
Machoo yake sasaaa, utadhani ni binadamu kweli
Inawezekana sana kwamba huyu na kundi lake ndio hasa waliomshambulia Lissu kwa risasi. Kwa kuwa hawa ni polisi, mienendo yao inaweza kufahamika kirahisi. Wakati Lissu anashambuliwa, hawa watu walikuwa wapo wapi siku hiyo ya mashambulizi?Huyu Good luck ni mmoja wa askari waliokuwa kwenye lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana. Huyu na wenzake ndio waliokuwa wanateka watu, kuwaua na kuwafunga mawe na kuwatupa baharini. Wamepanga na kuendesha operation za kikatili sana kwa wale wote waliokuwa wanaipinga na kuikosoa serikali ya Magufuli. Kwa sasa yeye na wenzake wanaweza kuendelea kuwa salama kwani waIitekeleza unyama ule kwa maagizo ya Magufuli. Ila iko siku kundi hilo na uchafu wao utakaa wazi na watakutana na mkono wa sheria. Huyu Goodkuck atakuwa anajua vizuri sana nani walimshambulia Tundu Lisu, waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda nk. Na kama wamezikwa anajua ni wapi.
Afadhali na mzee siku akimatia nafasi aka mmalizie hapahapo kwenye kiti chake.Yule tiss aliepigwa risasi na zakaria anatembelea wheelchair,yani biashara yake imeisha
Taga unapanic ukiwa unaliwa hukoUkimjua ili ufanye nini. Anakaa kongo
Ulishawapiga wangapi mkuu?Hao wepesi tu vibunduki vya early 70s ndo wanajidai navyo Ila mkikutana kitaa unapiga vzr izo takataka
Si walisema alikufa? Mbona unaleta taarifa mpya mkuu?Yule tiss aliepigwa risasi na zakaria anatembelea wheelchair,yani biashara yake imeisha
Yupo ila aliemtuma ndio karest chato,jamaa huwa anatembelea vx akishuka anapandishwa kwenye wheelchair,alikua best wa bro wng ila toka amekua mlemavu wa risasi za zakaria hawaonaniSi walisema alikufa? Mbona unaleta taarifa mpya mkuu?
Ukaguzi uanzie hapo mgongoni kwake🤔.Naona yupo ziwa Duluti, Tengeru
Inawezekana sana kwamba huyu na kundi lake ndio hasa waliomshambulia Lissu kwa risasi. Kwa kuwa hawa ni polisi, mienendo yao inaweza kufahamika kirahisi. Wakati Lissu anashambuliwa, hawa watu walikuwa wapo wapi siku hiyo ya mashambulizi?
Hili ni swali la fikirishi, komandoo kuteswa na askari polisiHao makomandoo wanateswaje na uyo jamaa?
Au Wana mafunzo machache?
Nashindwa kupata majibu au training ya police ni kubwa kuliko JWTZHili ni swali la fikirishi, komandoo kuteswa na askari polisi
Jambaz katiri flan hz la miongoni mwa wasiojulikana....lakin limejulukanaHope mko poa,
Hii kesi ya Mbowe imeibua Mambo mengi Sana,,moja Kati ya mengi ni kutajwa Sana kwa kinara wa utesaji aitwae afande Goodluck.
Adomo alimtaja Goodluck Kama mmoja wa watesaji, Mdude juzi alisema aliweza mtambua mmoja wa watesaji kuwa ni afande Goodluck, leo komando Mhina amemtaja afande Goodluck Kama mmoja wa watu waliomtesa sana
Who is Goodluck in this country,, na kwanini anatajwa Sana kama kinara wa watesaji hapa Tanzania.
Wanaomjua huyu jamaa ebu tueleze tumjue mtesaji mkuu wa polisi
Sasa mbona wasitoroke kama Rambo?wewe ni muongo sana acha ushabiki maandazi hapa umeambiwa waliamua kupambana na hao Polisi??isitoshe umevamiwa na polisi wenye Defender na bunduki uamue kupambana nao kwa mikono si wanakushoot hapo hapo wala usijidanganye hiyo CCP yao na 92 KJ ni mbingu na ardhi.
Kumbe!?Yupo ila aliemtuma ndio karest chato,jamaa huwa anatembelea vx akishuka anapandishwa kwenye wheelchair,alikua best wa bro wng ila toka amekua mlemavu wa risasi za zakaria hawaonani
Wakati mwingine ukifa unakuwa umesaidiwa.... jamaa anateseka tu.Zakaria shujaa wangu wa muda wotee, angeua kabisaaa.
Uishi miaka mingi mzee Zakaria
kama nawaona tumbi**li za chadema zikitamani huyo mtesaji awe ni MSUKUMA.Imeniuma Sana ni mangi, Goodluck Minja.
Race traitor!
Acha kua kiazi we msuKuma bogakama nawaona tumbi**li za chadema zikitamani huyo mtesaji awe ni MSUKUMA.