Goodluck anayetajwa Sana kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Wachagulieni watoto wenu kazi nzuri za kufanya huyo jamaa ni mtu wa kupewa order kwahiyo chochote anachofanya anaona ni anatimiza majukumu yake na yuko trained kutesa, kuua, kuumiza kwa lengo maalumu,,, kwahiyo usione sekta hizo kama kimbilio kwa mwanao mwishowe atapewa lawama kama hizi ambaz hazimhusu kabisa n maagizo tu hayo hupewa,,
 
Wewe na wachache waliyo humu JF siyo nchi nzima. wala siyo hata 0.005% ya nchi. Isitoshe haya hapa ni maongezi yasiyo na uhakika wowote. Hakuna anayemjuwa huyo Minja au kweli anaitwa Minja. Wakati mwingine mi hatari kutoa picha za watu eti unadhani ndiyo mtesaji. Kuna mtu ambaye anajuwa 100% mtesaji anaitwa Minja. Je, kuna mtu ana 100% uhakika hiyo picha iliyoletwa ni ya Minja. Ebu tuseme, kwa mfano, hiyo picha siyo ya Minja na kakatokea zobezobe wa kujitoa mhanga wa CHADEMA akampiga risasi mtu ambaye siyo! "How are you going to reconcile that"
Bro fanya kosa mtaani kama hutoona picha yako humu. Humu mna watu wengi ukitumia watanzania wanaojitambua kama denominator. Kama hiyo 0.005% uliyosema inahusisha watoto na wale akina bibi kijijini ambao hata hapo kijijini hawajui kinachoendelea utakuwa umekosea. Unaweza sema JF ina asilimia ngapi ya intellectuals lakini usitumie population yote hadi wale wanaonyonya.

Usiichukulie poa JF kufukua yaliyofichika.
 
Back
Top Bottom