Goodluck anayetajwa Sana kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Sio huyo tu, hata huyu mtoto wa Mahita ametajwa kuwepo Tabora wakati wa hii operation. Na ndio huyo huyo alikuwa Kilimanjaro kuwashughulikia kina Adamoo. Ndio hawa wasiojulikana wanaozurura nchi nzima kutesa Watanzania.

Mungu aendelee kumbariki Zakaria wa Tarime kwa namna alivyoshughulika nao walipoingia anga zake.
Zakaria shujaa wangu wa muda wotee, angeua kabisaaa.

Uishi miaka mingi mzee Zakaria
 
Huyu Good luck ni mmoja wa askari waliokuwa kwenye lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana. Huyu na wenzake ndio waliokuwa wanateka watu, kuwaua na kuwafunga mawe na kuwatupa baharini. Wamepanga na kuendesha operation za kikatili sana kwa wale wote waliokuwa wanaipinga na kuikosoa serikali ya Magufuli. Kwa sasa yeye na wenzake wanaweza kuendelea kuwa salama kwani waIitekeleza unyama ule kwa maagizo ya Magufuli. Ila iko siku kundi hilo na uchafu wao utakaa wazi na watakutana na mkono wa sheria. Huyu Goodkuck atakuwa anajua vizuri sana nani walimshambulia Tundu Lisu, waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda nk. Na kama wamezikwa anajua ni wapi.
Inawezekana sana kwamba huyu na kundi lake ndio hasa waliomshambulia Lissu kwa risasi. Kwa kuwa hawa ni polisi, mienendo yao inaweza kufahamika kirahisi. Wakati Lissu anashambuliwa, hawa watu walikuwa wapo wapi siku hiyo ya mashambulizi?
 
Ndio hawa hawa, hii ndio sababu hata siku Lisu anashambuliwa askari wa getini waliondolewa.
Inawezekana sana kwamba huyu na kundi lake ndio hasa waliomshambulia Lissu kwa risasi. Kwa kuwa hawa ni polisi, mienendo yao inaweza kufahamika kirahisi. Wakati Lissu anashambuliwa, hawa watu walikuwa wapo wapi siku hiyo ya mashambulizi?
 
Hope mko poa,

Hii kesi ya Mbowe imeibua Mambo mengi Sana,,moja Kati ya mengi ni kutajwa Sana kwa kinara wa utesaji aitwae afande Goodluck.

Adomo alimtaja Goodluck Kama mmoja wa watesaji, Mdude juzi alisema aliweza mtambua mmoja wa watesaji kuwa ni afande Goodluck, leo komando Mhina amemtaja afande Goodluck Kama mmoja wa watu waliomtesa sana

Who is Goodluck in this country,, na kwanini anatajwa Sana kama kinara wa watesaji hapa Tanzania.

Wanaomjua huyu jamaa ebu tueleze tumjue mtesaji mkuu wa polisi
Jambaz katiri flan hz la miongoni mwa wasiojulikana....lakin limejulukana
 
wewe ni muongo sana acha ushabiki maandazi hapa umeambiwa waliamua kupambana na hao Polisi??isitoshe umevamiwa na polisi wenye Defender na bunduki uamue kupambana nao kwa mikono si wanakushoot hapo hapo wala usijidanganye hiyo CCP yao na 92 KJ ni mbingu na ardhi.
Sasa mbona wasitoroke kama Rambo?

Mateso waliyoyapata na kifo kipi bora?
 
Back
Top Bottom