Goodluck anayetajwa Sana kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Lwiva

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
7,023
2,000
Mbona hafanani na ukatili anaofanya? Amekaa kama mchungaji.
Mbona hata mbowe ukimtizama uwezi mzania ni gaidi ,unashangaa nini ? Sisi watu wa legacy ya kizarendo hatutaki kujua habari za mbowe wala goodluck sisi tunataka kujua kifo cha JPM kilitokeaje tokeaje je kunamkono wa mbwa yoyote au la? hichondiyo cha msingi kwetu ,habari za mbowe kuminywa kende hadi zipasuke sisi azituhusu
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
91,211
2,000
Hope mko poa,

Hii kesi ya Mbowe imeibua Mambo mengi Sana,,moja Kati ya mengi ni kutajwa Sana kwa kinara wa utesaji aitwae afande Goodluck.

Adomo alimtaja Goodluck Kama mmoja wa watesaji, Mdude juzi alisema aliweza mtambua mmoja wa watesaji kuwa ni afande Goodluck, leo komando Mhina amemtaja afande Goodluck Kama mmoja wa watu waliomtesa sana

Who is Goodluck in this country,, na kwanini anatajwa Sana kama kinara wa watesaji hapa Tanzania.

Wanaomjua huyu jamaa ebu tueleze tumjue mtesaji mkuu wa polisi
Kila ubaya utalipwa

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Myangu

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
4,307
2,000
wewe ni muongo sana acha ushabiki maandazi hapa umeambiwa waliamua kupambana na hao Polisi??isitoshe umevamiwa na polisi wenye Defender na bunduki uamue kupambana nao kwa mikono si wanakushoot hapo hapo wala usijidanganye hiyo CCP yao na 92 KJ ni mbingu na ardhi.
Aende tuu pale kijijini aone polisi wanavyoishi km digi digi mtaa wa kati ule hakuna kibaka hata siku moja.
 
bababikko

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,475
2,000
Huyu Good luck ni mmoja wa askari waliokuwa kwenye lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana. Huyu na wenzake ndio waliokuwa wanateka watu, kuwaua na kuwafunga mawe na kuwatupa baharini. Wamepanga na kuendesha operation za kikatili sana kwa wale wote waliokuwa wanaipinga na kuikosoa serikali ya Magufuli. Kwa sasa yeye na wenzake wanaweza kuendelea kuwa salama kwani waIitekeleza unyama ule kwa maagizo ya Magufuli. Ila iko siku kundi hilo na uchafu wao utakaa wazi na watakutana na mkono wa sheria. Huyu Goodkuck atakuwa anajua vizuri sana nani walimshambulia Tundu Lisu, waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda nk. Na kama wamezikwa anajua ni wapi.
Douh
 
Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
3,384
2,000
Inawezekana sana kwamba huyu na kundi lake ndio hasa waliomshambulia Lissu kwa risasi. Kwa kuwa hawa ni polisi, mienendo yao inaweza kufahamika kirahisi. Wakati Lissu anashambuliwa, hawa watu walikuwa wapo wapi siku hiyo ya mashambulizi?
Damu ya mtu haimwagiki bure Mkuu. Kuna siku ardhi iliyoipokea hiyo damu itanena. Ni suala la muda tu, si umeshaziona dalili ya hawa wauaji kuanzia kujulikana kwenye Jamii??
 
sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,753
2,000
Huyu Good luck ni mmoja wa askari waliokuwa kwenye lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana. Huyu na wenzake ndio waliokuwa wanateka watu, kuwaua na kuwafunga mawe na kuwatupa baharini. Wamepanga na kuendesha operation za kikatili sana kwa wale wote waliokuwa wanaipinga na kuikosoa serikali ya Magufuli. Kwa sasa yeye na wenzake wanaweza kuendelea kuwa salama kwani waIitekeleza unyama ule kwa maagizo ya Magufuli. Ila iko siku kundi hilo na uchafu wao utakaa wazi na watakutana na mkono wa sheria. Huyu Goodkuck atakuwa anajua vizuri sana nani walimshambulia Tundu Lisu, waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda nk. Na kama wamezikwa anajua ni wapi.
Hii ni Dhania tu
 
Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,035
2,000
Yani duniani mtu ana hamka usingizini, anavaa suti anaaga familia, anaendesha gari, ana miliki nyumba nzuri, mke mkali a.k.a pisi, ana account ya benki, anapokea mshahara, ana watoto wazuri, warembo, halafu kumbe ni mtesaji
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, ajira nyingine bhana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom