Tujifunze kupitia kwenye mkasa huu na kushukuru mungu yeye ndio mtoaji na mtwaaji..Ina lillahi waina ilaihi rajiun!Dah.. Wewe acha tu hata sijui niseme nn.
Nasikitika nimepata taarifa za kunishtua cha kifo cha rafiki yangu tulikuwa sote kitambo udsm, amefariki baada ya kuwekea sumu kwenye beer, mshikaji alishaoa ila inasemekana alikuwa anatoka na mke wa mtu na mwenye mke alishamuonya,tafadhalini mabibi na mabwana heshimuni mahusiano yenu, Nimesikitika sana,mkewe ni mtu mzuri sana hata siwezi kuongea nae at the moment, nilikuwa kazin nimeamua kurudi nyumbani kichwa hakifanyi kazi.