Goodbye my dear @preta

Huyu Preta ana wanaume wangapi? Maana kuna mahali humu Boflo amedai anataka kununua bastola ya kumlinda yeye na Preta wake!
 
Aiseeee. kweli nimepitwa na mengi!! Safari ya Yaeda chini ni lazima kwa sasa😛lane:

Kunani huko @Yaeda chini, au kwa kuwa nimeaga hapa? Huwezi kukidhi vigezo vya my Preta
 
Last edited by a moderator:
Huyu Preta ana wanaume wangapi? Maana kuna mahali humu Boflo amedai anataka kununua bastola ya kumlinda yeye na Preta wake!

Majungu haya, Boflo tangu lini?
 
Last edited by a moderator:
Shauri yako, endelea kumvizia Preta, utakuja kushangaa umegongwa na kitu chepesi chenye ncha kali

Upo jasiri sana Opaque, unaweza kumtisha mwenye mali?
 
Last edited by a moderator:
kuendelea kuwa na Preta unaweza kumkibanda mtu bure..haya bebii huyu@moto2012 ndio chaguo lako jipya..
 
Last edited by a moderator:

Preta kwa taarifa yako jana kaonekana anakula bata na njemba flan whitesands.
 
Last edited by a moderator:
Preta kwa taarifa yako jana kaonekana anakula bata na njemba flan whitesands.

Nilijua tu, mzee mwenye matata alikuwa Mtambuzi tu, kufumaniwa kwake na mdada wa house keeping kwenye hotel huko Mwanza ni faraja kwangu kwani najua
1. Na mama Ngina wake kitakuwa kimenuka, anahaha kunusuru ndoa yake ukizingati hivi karibuni alikuwa na msala wa yule dada poa wa kwa Kimboka ambaye alikuja kufanya kazi ya u-HG na kisha kudai advance ili asikinukishe kwa mama Ngina, mama Ngina aliinyaka laivu, leo najua atakuwa amepruvu kuwa huyu bwana Mtambuzi ni hasara tupu
2. Atakosa muda wa kupenyua picha zangu na kutundika hapa jamvini na kudai mimi si mwaminifu katika ndoa ili iwe rahisi kwa washikaji zake kama wewe Bishanga mtake advantage!
Preta baby nipokee tarehe 23, nakuletea asali ya Tabora dia!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…