Goodbye My 2020 Terrible Boyfriend

Goodbye My 2020 Terrible Boyfriend

Nitakuwa hapa hapa .best wishes .so happy for you .ipo siku yangu tu inshalah

Thanks dear, it’s all well and good.

Yote maisha cha muhimu uzima, kama uonavyo itafika tuu.
 
Nimekustukia looh unataka kunikalisha kwenye poti mchana kweupe weeeh...!

Lete udaku huooo upate mibaraka unayoitaka aahahahaaa.
😂😂 Hivi hata picha hujaisoma tu! Basi kweli umekuwa kizee..😂
 
Nizeeke mara ngapi Bwana weweee...!?

Funguka nimwage baraka kama unaona kuku wengi andika kimemo tupia chumbani ntasoma huko.

Miwani yangu kaondoka nayo babu yako tangu asubuhi alienda shamba hajarudi. Yuko na kijana wa shamba hivo hapa hata picha sioni, wee nidadavulie kila kitu..😜
 
Kama hujaelewa ndo udaku umekupita huo..😂
 
😂😂 Mambo ya kugayana yalishaishaga kitambo we bado tu.. kweli uzee mwengine ni ugonjwa..😂

Hivi unafikiri nimekula chumvi nyingi bahati mbaya, nimekusoma na nimekuelewa sanaa sema tuu sikutaka kuzitoa baraka zangu kirahisi rahisi.

Kajasho kakutoke kwanza eehehehheee, eeh bibi mtata mie.

Haya naanza sasa:

Mwijukulu wangu Kenze, nakutakia mibaraka telee. Uzidi kunenepa kila mahali kasoro tumbo tuu hata ule mara 5 kwa siku.

Mibaraka hii ikuandame popote unapopita watambue kiberenge kileee kinaenda stesheni kupeleka mzigo 🤪

Pia kila unapokanyaga ukinyanyua mguu paote mazao ya chakula usipatwe na njaa wewe wala kizazi chako.

Usipokuwa mvivu basi namba yako ikaongezeke maradufu kwenye kila nyanja.

Mwijukulu wanne, mashikholo magheni.
 
Ahsante bibi mapengo..😂
 
Kuumizwa ni kawaida katika mapenzi.
Kikubwa ni kujipa muda upone na kusonga mbele.
 
Back
Top Bottom