sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,783
- 9,002
Sasa mbona wamtaka K aseme manfriend?Sijawahi kusikia popote.
Sasa mbona wamtaka K aseme manfriend?Sijawahi kusikia popote.
SijamboHujambooo Kibeeereeengeeeehhhhhh.......
Siwezi Kuwa mapengo! Itaishia kwenu tu..😜Good boy, haya ukimaliza kupiga kwata ukaze meno yako usijekuwa mapengo kama babu yako.
Kasie kwa heshima yako nipatie baraka zako.. usiulize za nini I think you can sense it!Safiii mtoto mzurii.
Uache kula peremende na uswaki kila baada ya mlo.
Litamke hilo huku moyo wako ukiwa open nataka baraka zako Bibi weye..😂Well I can’t sense anything, my humour are quiet.
All the blessings in your endeavours.
Litamke hilo huku moyo wako ukiwa open nataka baraka zako Bibi weye..😂
Kasie holiday season wapi mamy??Weeeh acha kuniletea kekundu hapa, nioneshe mkataba kwanza siangushi wino wangu hivihivi.
Nimefuta baraka zote anza upya, sizitoi hadi useme agenda yako.
Kibeeeh!!!
Siamini kama namaliza 2020 nikiwa single.tho am.in relationship with someone ila hajui kama Niko single .
Siku hizi hela ninazo naitaji tu upendo na respect maMiss, kuna hawa wakaka wanatembega na vimbwa vile vidogo dogo kama vipaka. Utakuta wamevaa pensi tishirt miwani myeusi na chini Viatu au raba bila soksi.
Six pack warefu weusi, wanatembeaga mida ya jioni tangi bovu to rainbow, barabara ya chini kuelekea round about ya white sands na wengine wanaunga hadi beach kule whitesands kabisa.
Ukianza nae huyu 2021 mambo yako yatajipa. Mchongo ndo huo nshakupa shoo.
NB: hapo wanakuwa mazoezi, wanaendesha magari ya maana, wanamijengo yao na wanabiashara zao mjini.
😅 Unapenda udaku sana we mwanamke..Weeeh acha kuniletea kekundu hapa, nioneshe mkataba kwanza siangushi wino wangu hivihivi.
Nimefuta baraka zote anza upya, sizitoi hadi useme agenda yako.
Kibeeeh!!!
Nitakuwa hapa hapa .best wishes .so happy for you .ipo siku yangu tu inshalahUturuki my dear, nna tiketi tayari ya kwenda na kurudi Turkish Airline tarehe 10 Dec [emoji3575] kurudi mid January huko.
Kuna chimbo tunaenda jifungia tugundue kitu...[emoji12]
Vipi wewe...!???
Me napenda kuzaa kama paka mweeHata hao wana respect tuu mkielewana tabia, nna shosti yangu alipata mmoja ila hataki wazae. Wameelewana wanaendeleza maisha.