Nataka nipungue Tu kwa kawaida,.. yaani kidogo kidogo walau nishuke hadi sabiniKilo 87 apo mbona shega mamie, sifa ya toto la kike liwe na upaja flani hivi na katumbo kwa mbali sio flat kabisa, tukubali tu tunakua Mkuu haswa kama umezaa! ila sasa uzuri uwezo wa kujipunguza nao upo inawezekana discpline tu.. ila sikushauri. We live once, enjoy n love yourself.
😀😀 sanaPortable asee Chica!!
Huu ni mtihani walahi,.Mkuu unachopitia ndicho napitia mimi. Nlikuwa nakula tu kilo zangu zilikuwa zikizida saba 59 ila jilikuwa 57/58. Nilikuwa kipindi hicho natamani niongezeke ila now natamani jipungue hadi 72 lakini napo inashindikana.
Lei nimevaa kiofisa kila mtu ananiambia oya tumbo linakuacha hilo. Nikipunguza kula nakonda uso tumbo limegoma
kuna level ya kiuchumi ukifikia tu mwili unaanza kutanuka wenyewe unashituka tu pamba zako za zamani hazikufit Tena..unakuwa big kimtindo 😁Too personal questions. Okay bye
Mm mbona nimeshindwa nipe mbwinu.Ukiamua kupungua ile kuamua utaweza
na ikiisha miaka 6 bila bila jamaa ataanza kukuwazia vibaya..ata jiuliza mbona kama nachimba mgodi usio na mawe😁Uwiii😩😂😂
Weka akiba totoo siku ukishusha engine utajua hujui 110Kg kama utani Michirizi kila sehemusiku nikifika 60kg sijui itakuwaje? 😀
Hawezi kukwambia kwa sababu aliapa ila siku ukimkera sana atakwambia.Hahahah😅🤣🤣🤣🤣,.
Sema bado hajaanza kulalamika
All the bestHaitafikia huko in Jesus Name
Kwetu wanene wapo ila ni wenye miili ya wastaniJe, kwenu ni wanene?
Kingine je umeshazaa?
Tatu unafanya shughuli gani?
Una ngapi mkuu? 😂Mm mbona nimeshindwa nipe mbwinu.