Viwanja Yya Kupima Mil 4 Kigamboni Yale Puna

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
Habari kuna viwanja vingi tunaviuza maeneo ya kigamboni yale yale puna ambapo ni kilometer 37 kutoka ferry ya kigamboni na ni dakika 55 kwa gari mwendo wa kawaida.

Bei ya viwanja kwa square meter ni sh 10,000= hivyo viwanja ambavyo ni vidogo ni square meter 400 ila vipo pia vyenye ukubwa mpaka square meter 1500, ni uwezo wako tu.

Viwanja kutoka barabara kuu ni meter 100 , umeme upo pamoja na maji na mji unakua na watu wengi wameshajenga na kuhamia.

Viwanja vyote vimepimwa kisheria na full documents, SURVEY PLOT NO 1-195, BLOCK L ,YALE YALE PUMA, TEMEKE DSM,

UTAUZIWA PAMOJA NA HATI YENYE JINA LAKO KISHERIA, UNAWEZA KUJA NA MWANASHERIA WAKO PIA
kwa Mawasiliano 0712 212 220

Picture3.png
Picture4.png
Picture6.jpg
 
BABA MWENYE NCHI ACHIA KIDOGO TUPUMUE DAH YANI WAAULIZA TU KANNUA MMOJA TU
 
Mm nasubiri noah yangu ikifika ntakuja huko , pia nasubr ekari 700 nazo nasikia tutagawiwa bure tuviendeleze.
 
Habari kuna viwanja vingi tunaviuza maeneo ya kigamboni yale yale puna ambapo ni kilometer 37 kutoka ferry ya kigamboni na ni dakika 55 kwa gari mwendo wa kawaida.

Bei ya viwanja kwa square meter ni sh 10,000= hivyo viwanja ambavyo ni vidogo ni square meter 400 ila vipo pia vyenye ukubwa mpaka square meter 1500, ni uwezo wako tu.

Viwanja kutoka barabara kuu ni meter 100 , umeme upo pamoja na maji na mji unakua na watu wengi wameshajenga na kuhamia.

Viwanja vyote vimepimwa kisheria na full documents, SURVEY PLOT NO 1-195, BLOCK L ,YALE YALE PUMA, TEMEKE DSM,

UTAUZIWA PAMOJA NA HATI YENYE JINA LAKO KISHERIA, UNAWEZA KUJA NA MWANASHERIA WAKO PIA
kwa Mawasiliano 0712 212 220

View attachment 588190 View attachment 588191 View attachment 588192
mita 100 kutoka barabara kuu wakati serikali inataka mita 121 kutoka barabara kuu mkuu. hapo lazima aje aumie mtu baadae
 
Mita 100 kutoka jiwe la barabara, hapo vp umeelewa?
mita 100 kutoka barabara kuu wakati serikali inataka mita 121 kutoka barabara kuu mkuu. hapo lazima aje aumie mtu baadae[/QUO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom