Kufanya mambo yasiwe mengi, ni kwamba wewe ni kishoka.Habarini wana JF, Poleni na majukumu.
1. Natoa huduma ya kuandaa Deed Poll( Change of names) Kubadilisha majina yaliyopo kwenye vyeti kama yamekosewa
Cheti cha kuzaliwa
Cheti cha NIDA
Vyeti vya shule
Gharama zake ni 150,000 vinakuwa attested na Mwanasheria na kuwa verified kwa Registrar ( Msajili)
2. Pia napiga Copy ya vyeti muhuri ( Certify) Bei ni nafuu kwa idadi ya vyeti vyote ulivyo navyo, ila visizidi vyeti 10.
0629504117 Call au Whatsapp
Hapana, Napingana na weweHuo ni wizi..kitu chenyewe hata
bora umenisaidia kujibuHapana, Napingana na wewe
- Hivyo tumpongeze kijana kwa kujiongeza.
- Kwa ufahamu wangu, ni kuwa wadau hulipia muda wake anaotumia kufuatilia na kufanikisha kila kitu.
- Hata kama huduma inapatikana bure, kuna wadau wako tayari kumlipa mtu Muda wake wafanikishiwe mambo yao.
Wewe ni Ponjoro????Vyeti feki naweza pata?
Maana kuna nchi flani huko afrika nataka nikagombee nafasi ya ubunge
Huo ni utapeli wa kiwango Cha lami.Hapana, Napingana na wewe
- Hivyo tumpongeze kijana kwa kujiongeza.
- Kwa ufahamu wangu, ni kuwa wadau hulipia muda wake anaotumia kufuatilia na kufanikisha kila kitu.
- Hata kama huduma inapatikana bure, kuna wadau wako tayari kumlipa mtu Muda wake wafanikishiwe mambo yao.
Nilidhani najua kila kitu, kumbe kuna cheti cha NIDA?Cheti cha NIDA
ninahitaji kuhakikiwa mkataba wa mauziano ya ardhi, nitakupigia simu.mimi ni mwanasheria ndio