CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Jul 30, 2015 #1 Habari zenyu binafsi, Jamani naomba kufahamu jinsi ya kutengeneza gongo Iwe ni ile ya au ya ndizi, au ya zabibu. Maadamu iwe gongo. Natanguliza shukrani CL
Habari zenyu binafsi, Jamani naomba kufahamu jinsi ya kutengeneza gongo Iwe ni ile ya au ya ndizi, au ya zabibu. Maadamu iwe gongo. Natanguliza shukrani CL
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Jul 30, 2015 #2 Kama niliwahi kusikia vile(kama niko sawa) kuna wanayotengenezea na mapapai pia. Wataalam njooni mtupe maujuzi
Kama niliwahi kusikia vile(kama niko sawa) kuna wanayotengenezea na mapapai pia. Wataalam njooni mtupe maujuzi