Gonga like kama bibi katisha.

Hilo gauni atakuwa alipewa pamoja na kanga.na ubwabwa kwenye kampeni za chama "chetu"
 
Ana uhusiano na yule katibu wa uenezi wa chama cha mulungo
 
nguo jijiemu, vidole shadema, manake moyo wake upo shadema zaidi japo hakukataa takrima nguo ya jijiemu....!!!
 
Hilo gauni atakuwa alipewa pamoja na kanga.na ubwabwa kwenye kampeni za chama "chetu"

Mkuu Baba V umesahau wanapewa na
Chumvi ya Mawe wakaweke kwenye
mboga ili macho yasione vyama vingine.
 
Thamani yao ni kwenye Uchaguzi tu
baada ya hapo ni Galasa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…